Kwa nini afukuzwe peke yake wote kwenye kitengo chao wafukuzwe.said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Kwa nini afukuzwe peke yake wote kwenye kitengo chao wafukuzwe.
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho
said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Huu mtindo wa wanasiasa kuwatumia watumishi wengine kwa maslahi yao itaharibu taifa kikubwa mdogo wake mbowe na wengine kwenye hiyo idara ya compyuta lazima wachunguzwe.mbowe ni mzigo kwa taifa, anatakiwa afikishwe mahakamani kwa uhujumu wa elimu
Joseph Mbowe nimesoma naye pale UDSM tukamaliza 2001 Computer Science hana Uhusiano na Mbowe wa Chadema zaidi ya ukoo kufananaAcha ujinga majungu fitina....ni ukoo tu hawana uhusiano mmoja mrombo. Mwingine mmarangu ..lingine ?fisadi wewe
Mnaanza Ubaguzi CCM kama kawaida yenu,kwani kuwa na undugu na Mbowe ni Dhambi?kwa hiyo nyie wenye ndugu CCM ndio mna haki sana?said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Mods huyu ni mwongo huyo mbunge hakutaja jina la mtu I thought this forum is for those who believe in truth, you are a great liar, hakuna jina la mtu lilitajwa mods muwe makini na members wenuSaid Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.