Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
 
said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Kwa nini afukuzwe peke yake wote kwenye kitengo chao wafukuzwe.
 
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho
 
Je Ndalichako huwa hapitii hayo matokeo, au hawana upitiaji kwa hayo matokeo?
Je yeye ndo final wa kupost hayo matokeo?
 
Kwa nini afukuzwe peke yake wote kwenye kitengo chao wafukuzwe.

Nakubaliana na wewe mkuu, sio tu kufukuzwa bali wachunguzwe na wote waliohusika waadhibiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho

jibu hoja acha kurukaruka hapa, mtanda amesema mbowe alihujumu matokeo, jibu kwanza hili
 
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho

mkuu yeye amependekeza huyu jamaa awajibike kwani ndiye chanzo cha kuvuruga matokeo kwa matakwa yake.
 
Huyu said mtanda ni mlamba viatu vya ridhwani na ni kibaraka wa membe mzee wa midimu aache kutokwa na mapofu hana jipya huyu kichwa maji aende mchinga akalime korosho

Humjui huyu mtu unaemuongelea dogo, Ridhwani na Membe ndio wanamhitaji kijana huyu makini. Hana tabia za kujipendekeza ila watu makini wanajua hazina ya busara kutoka kwake.
 
aeleze sababu za kutosha kwanini afukuzwe la sivyo aache uzandiki wake... afukuzwe kisa tu ni ndugu yake mbowe? nonesense....
 
Acha ujinga majungu fitina....ni ukoo tu hawana uhusiano mmoja mrombo. Mwingine mmarangu ..lingine ?fisadi wewe
 
acheni siasa. yule kijana siyo mdogo wake na mbowe...tanzania tumezidi siasa za maji taka. kijana anayesemekana namjua, aliondoka necta tangu mwaka jana au juzi nadhani. huo ni ubaguzi. myu kuwafanana last name isiwe kigezo cha ubaguzi
 
said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.

Hivi ile semina elekezi huyu hakuwepo nn?
huyu ni msomi wa wapi, anatoa tuhuma with no eveidence and other ssupportives documents, Mode piga ban huyu alyeleta huu uzi coz anaonekana ana muwasho na ban! ataletaje thread haina facts wala ha-justify statements zake?

tufike mahaala mode mtumie mbavu zenu!
 
mbowe ni mzigo kwa taifa, anatakiwa afikishwe mahakamani kwa uhujumu wa elimu
Huu mtindo wa wanasiasa kuwatumia watumishi wengine kwa maslahi yao itaharibu taifa kikubwa mdogo wake mbowe na wengine kwenye hiyo idara ya compyuta lazima wachunguzwe.
 
Acha ujinga majungu fitina....ni ukoo tu hawana uhusiano mmoja mrombo. Mwingine mmarangu ..lingine ?fisadi wewe
Joseph Mbowe nimesoma naye pale UDSM tukamaliza 2001 Computer Science hana Uhusiano na Mbowe wa Chadema zaidi ya ukoo kufanana
 
Awajibike Waziri mwenyewe kwanza atakayechukua nafasi yake ndie aje kusafisha huo uozo. Waziri Kawambwa angekuwa anaiweza kazi yake angemwajibisha huyo mtendaji kabla ya kusubiri wabunge wapige tarumbeta.
 
said mtanda ambaye ni mbunge wa mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba josefu mbowe ambaye ni mdogo wake na fremani mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale baraza la mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Mnaanza Ubaguzi CCM kama kawaida yenu,kwani kuwa na undugu na Mbowe ni Dhambi?kwa hiyo nyie wenye ndugu CCM ndio mna haki sana?
 
Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Mods huyu ni mwongo huyo mbunge hakutaja jina la mtu I thought this forum is for those who believe in truth, you are a great liar, hakuna jina la mtu lilitajwa mods muwe makini na members wenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom