Mdogo wa Membe: Musiba lazima atekeleze hukumu ya mahakama

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu.

Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake.

Pole sana ndugu yangu Musiba naona unavuna ulichokipanda sasa.

Naomba tumsikilize vizuri ili tuchangie na vilevile tutoe ushauri kwa kila upande.

Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu.

Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake .

Pole sana ndugu yangu Musiba naona unavuna ulichokipanda sasa.

Naomba tumsikilize vizuri ili tuchangie na vilevile tutoe ushauri kwa kila upande.View attachment 2634809
huyu jamaa atakufa so soon. muda tu utaongea
 
Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu.

Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake .

Pole sana ndugu yangu Musiba naona unavuna ulichokipanda sasa.

Naomba tumsikilize vizuri ili tuchangie na vilevile tutoe ushauri kwa kila upande.View attachment 2634809
Kumekucha. Mirathi haipotei
 
images (8).jpeg
 
Attachments

  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    8.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom