Mdogo mdogo Wahaya wanarudi kuwekeza kwao. Bukoba itarecover one-day hata Kama serikali haipajali

Acha kujisifia ujinga.

Nitajie hospital moja kubwa inayomilikiwa na mchaga Tena mwanamke mpambanaji Kama huyu Rwechungura.


Unajua unanipotezea muda hapa na wivu wako
Hahahaha wahaya kwel wajinga jinga ,kwani lazima kila mtu afanye biashara ya hospital jamani embu tulia huko
 
Rombo yenyewe tu ina hospital nyingi tu kubwa ,mm kwa tarafa yangu tu ya mkuu kuna huruma hospital hii ni kubwa na ni serikali nusu kanisa katoliki nusu kuna kituo cha afya Keni kuna Ngoyoni na nyingine ni vizahanati vidogo dogo kwenye kila kata
Plus Mkuu dispensary yetu
 
eti miaka hamsini

Hebu tuanzie hapa.

Wilaya za hai na Rombo zina hospital ngap?
Maana na nyie mmekuwa na misifa Sana siku hiz
Rombo pekee ina hospital tatu
Huruma hospital
Rombo district hospital(mpya)
Ngoyoni hospital
Achilia mbali vituo vya afya vifuatavyo
Karume
Tarakea
Keni
Hai Kuna hospital ya machame
Ukija Moshi DC
Kuna hospital zifuatazo
Kilema hosp
Marangu hosp
Dr minja hosp
Kibosho hosp
Moshi mjini zifuatazo
Kcmc
Mawenzi
St Joseph
 
Waliporudi kuwekeza matokeo ndo haya?
IMG-20221211-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom