mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Hivi mahakama ya mafisadi IPO wapiii?
View attachment 1413550View attachment 1413558
1. Mkandarasi amekula milioni 348 bila kufanya kazi
2. Mradi wa milioni 528 hautoi maji. Mkandarasi kasepa
Najiuliza nguvu anayotumia Spika kummaliza Tundu Lissu kwa nini haitumii kusimamia miradi huko kwake,au na yeye ana 10%?
Hali hii haikubaliki
Tena nyingi sana na hasa sekta ya madini.Madam President tunaamini ataacha uhuru wa vyombo vya habari viandike kwa manufaa ya umma.Namshauri asafishe kote na aanze upya na sera zake bila ya kujali kuingiliwa na wapambe wa awamu ya TANO.Chakushangaza kabisa, unakuta kuna ripoti ya kaguzi nyingi tu zimefichwa.
Si nasikia J. N ndiye mkandarasi pekee wa ku supply petroleum kwa halmashauri ya Kongwa⁉️⁉️‼️‼️😤😤Mkuu wa Wilaya CCM, Mkurugenzi CCM, baraza la madiwani CCM, Serikali za vijiji CCM bila shaka hadi mkandarasi ni kada. Imeishia hiyo.
Nyie hayawahusu, endeleeni kunywa uji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi taarifa za CAG inabidi ziwe zinaandikwa kwa kiswahili ili hata sisi tulioishia la Saba tuweze kufahamu kinachoendelea