Mdhamini anahitajika: Nina wazo la kutafsiri vitabu maarafu kutoka kingereza kwenda kiswahili..

Samahini kwa wote nilio wakwaza kwa wazo langu hili la kijinga Ahsanteni
~Da'Vinci...
 
Mkuu hao mkuki na nyota si hua wanachapa vya waandishi wa humu?? Nataka vya waandishi wa njee ya Tanzania..
So ninawasiliana nao vipi hao waandishi! Let say Nataka kutanslate Da vinci code je inanibidi niwasiliane na Dan Brown? ?? Nimwombe anipe kazi ya kuwa natafsiri kazi zake???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimekushauri uende kwao ili ujifunze taratibu wanazofuata ktpata idhini ya kutafsiri vitabu vya lugha za kigeni.
Sio kweli kwamba mkuki na nyota hawatafsiri vitabu vya waandishi wa nje kwa mfano vitabu kama 'the government inspector', 'no longer at ease' na vingine vingi vya waandishi wa nje vimetafsiriwa to swahili.
Kwa mfano ukiwatembelea longman na macmillan lazima watakupa connection za kuwapata hao waandishi wa nje(watakuunganisha) ila wewe personally utasota sana.
Kesi nyingine?
 
Director Cosmopolitan said:
Anza na short stories kisha tuwasiliane.
Usiwe above 35 ndio mawazo yetu yataendana.
Niko 21 naona hatujaachana sana twaweza endana.. siriaz mkuu
 
Nimekushauri uende kwao ili ujifunze taratibu wanazofuata ktpata idhini ya kutafsiri vitabu vya lugha za kigeni.
Sio kweli kwamba mkuki na nyota hawatafsiri vitabu vya waandishi wa nje kwa mfano vitabu kama 'the government inspector', 'no longer at ease' na vingine vingi vya waandishi wa nje vimetafsiriwa to swahili.
Kwa mfano ukiwatembelea longman na macmillan lazima watakupa connection za kuwapata hao waandishi wa nje(watakuunganisha) ila wewe personally utasota sana.
Kesi nyingine?
Nimekuelewa naomba unipe connection jinsi ya kukutana nao na wako wapi hasa ukizingatia niko mkoani
 
Kudo said:
Mara nyingi zaidi angalia publisher wa kitabu husika, kisha wasiliana nae, kwa email alizoweka, yeye anaweza kukusadia kukufikisha kwa wahusika
Good You gimme a starting point
 
Mimi nimetafsiri sura mbili za kitabu cha stephen hawkings 'a brief history of time' ila nimeacha kwa sababu mambo ya haki miliki na muda ni tatizo. Ila ni wazo zuri sana mkuu da'vinci Kama ukipata mdhamini. Hata ukikosa mimi nakushauri fanya tu for fun, ni zoezi murua sana.
 
Mimi nimetafsiri sura mbili ya kitabu cha stephen hawkings 'a brief history of time' ila nimeacha kwa sababu mambo ya haki miliki na muda ni tatizo. Ila ni wazo zuri sana mkuu da'vinci.
Ahsante mkuu yaani mambo ya Copyright ndio yananiferisha.. Napenda watz wote hasa vijana tuwe na passion ya kujisomea ndio maana kwa hili hata bure naweza jitolea kufanya

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ahsante mkuu yaani mambo ya Copyright ndio yananiferisha.. Napenda watz wote hasa vijana tuwe na passion ya kujisomea ndio maana kwa hili hata bure naweza jitolea kufanya

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu, nahisi tumefanana vitu vingi; umri, mtazamo n.k. (japo umenizidi zaidi)..kuna wakati huwa nahisi ni mtu mmoja aliyegawanyika mara mbili. Kuna mdau hapo juu aliyekushauri kuwaona mkuki na nyota hapo, ni njia nzuri.
 
Mkuu, mnahisi tumefanana vitu vingi; umri, mtazamo n.k. (japo umenizidi zaidi)..kuna wakati huwa nahisi ni mtu mmoja aliyegawanyika mara mbili. Kuna mdau hapo juu aliyekushauri kuwaona mkuki na nyota hapo, ni njia nzuri.
Hahaaa may be ww ni pacha wangu.. Maana mapacha wako wa aina 2.. Wa roho na Mwili.. mkuu nitajitahid niwasiliane nao tuone wanesema vipi.. Nafurahi kupata pacha humu
 
Nimekuelewa naomba unipe connection jinsi ya kukutana nao na wako wapi hasa ukizingatia niko mkoani
Ingia mtandaoni halafu search utapata contact zao.
Au tafuta vitabu walivyo publish kwenye jalada kuna kuna contact zao.
Longman na Macmillan ni wa ulaya ila wanabranch zao dar na hao mkuki na nyota wapo dar pia(kwenye vitabu kuna adress zao so huwezi kupotea iwapo utaamua kuwatembelea uko dar.
Kesi nyingine?
 
Ni wazo zuri. Lakini lina changamato zake. Masuala ya patent right kama walivyotangulia wengine hapo juu ni ishu pana na complex. Pili, uweledi (professionalism) kwa wewe mhusika. I know you got talent...lakini kwenye muktadha wa utafsiri wa vitabu wenzetu na pengine kwenye tasnia ya translation services hili ni paramount. Lazima uwe tayari kupitia processes kadhaa za kupima uwezo wako ktk nyanja hiyo ili ku prove uwezo wako.

Hali kadhalika mimi binafsi, niliwahi kuwaza kuhusu fursa ya kutafsiri na kuweka hadithi za Shigongo kwenda kwenye vitabu kwa lugha ya kingereza. Nakubali kukosolewa..ila personally nadhani jamaa ni mtunzi maridhawa sana. Stori zake zina hadhi ya kuwa movies/series.
 
Kitu cha msingi nadhani ni kufanya kazi na partner ambaye yeye ana academic qualifications na ujuzi ktk nyanja ya utafsiri. Nyinyi wawili mnafungwa na mkataba ambao mtashirikiana kuandaa clauses na kumshirikisha m/sheria kwa lengo la kulinda maslahi ya kila mmoja.

Ila jambo lingine ni kuhakikisha unapotembelea hizo branch za publishers unakua mkononi angalau una concept paper ya mradi wako. Hii inasaidia kuliko kwenda maneno matupu.
 
Yaka said:

Natafuta huyo partner mkuu nifanyaje?
 
Ni wazo zuri. Lakini lina changamato zake. Masuala ya patent right kama walivyotangulia wengine hapo juu ni ishu pana na complex. Pili, uweledi (professionalism) kwa wewe mhusika. I know you got talent...lakini kwenye muktadha wa utafsiri wa vitabu wenzetu na pengine kwenye tasnia ya translation services hili ni paramount. Lazima uwe tayari kupitia processes kadhaa za kupima uwezo wako ktk nyanja hiyo ili ku prove uwezo wako.

Hali kadhalika mimi binafsi, niliwahi kuwaza kuhusu fursa ya kutafsiri na kuweka hadithi za Shigongo kwenda kwenye vitabu kwa lugha ya kingereza. Nakubali kukosolewa..ila personally nadhani jamaa ni mtunzi maridhawa sana. Stori zake zina hadhi ya kuwa movies/series.
Daaah nafeli pia kwenye uweledi hapa yaani lazima nipite class kidogoo daaah!!!!! Niwe na cheti pembeni

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom