Mdee: Najua kilichomrudisha Lowassa CCM, Serikali imembana sana kwenye mali zake na familia imebidi aombe poo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.

Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
 
Arudi tu. Chama ni zaidi ya mtu moja. Hata Ronaldo alihama lkn Madrid haikufa. Yeye amerudi kwa sababu ya kuwa "Blackmailed" na Magufuli. That's all.
 
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.

Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
Karudi ccm kupiga za uchaguzi 2020 kama kawaida yao kumbuka yupo na Rostam
 
Karudi kwenye Kamati zake
tapatalk_1508520988213.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.

Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
Mimi kwanza chama baadae,hata ungekua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom