Mdee: Najua kilichomrudisha Lowassa CCM, Serikali imembana sana kwenye mali zake na familia imebidi aombe poo

Labda huelewi "Trends" za vilabu, hakuna klabu inayoweza kuwa juu siku zote. Hakuna na haitakuwepo.

Conversely, kwa vyama vya siasa pia ni hivyo hivyo penye chaguzi huru na haki, lkn kwa mazingira ya Tanzania inakuwa tofauti kwa sababu ccm ndio ina-organise na ku-supervise uchaguzi na baadaye kujitangaza "Mshindi". It's bit queer and funny.
sasa kwanini mnashiriki uchaguzi?
 
Back
Top Bottom