Mdee: Najua kilichomrudisha Lowassa CCM, Serikali imembana sana kwenye mali zake na familia imebidi aombe poo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
4,099
Points
2,000

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
4,099 2,000
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
 
TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
8,045
Points
2,000

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
8,045 2,000
Tuheshimu mawazo ya mzee EL, alikuwa sahihi wakati ule basi tu hakukubalika na mfumo na sasa yupo sahihi, speculator mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwere ndo chanzo cha yote angeheshimu mapatano yao tusingepata tabu hii.watu wamefukuzwa Kazi,nyumba zimebomolewa,kesi feki za madawa za kupigia hela,Ben azory wasingepotea.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
16,476
Points
2,000

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
16,476 2,000
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
Karudi ccm kupiga za uchaguzi 2020 kama kawaida yao kumbuka yupo na Rostam
 
wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
1,407
Points
2,000

wakatanta

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
1,407 2,000
Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".
Mimi kwanza chama baadae,hata ungekua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,391,237
Members 528,385
Posts 34,076,654
Top