Mdee, Gekul, Silinde, Nassari, Butiku, Bulaya, Katambi, ndio wamenifanya niamini kwamba siasa Tanzania ni kuchumia tumbo tu sio kuwatumikia wananchi

Ndio ujifunze kuiamini taasisi usiwaamini watu, hao huja na kutoweka, lakini taasisi iliyoundwa kwa misingi ya sheria haiwezi kuondoka.

Alichonitenda Dkt. Slaa sitamsahau yule mzee, niliamuamini nikajua huyu ndie Chadema haswa, lakini alivyokuja kuchukuliwa na TISS wakaenda kumficha hotelini pale ndipo "nilizima fegi"
Kilichomtoa Dr Slaa pale Ufipa ni msimo wake.

Hizo habari za kusema alinunuliwa sijui mkewe alimfungia ndani ni propaganda tu.
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Umechokoza kutaka kutuletea habari za Makonda ukapigwa spana za kutosha sasa unatafuta kupunguza maumivu
 
Huwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.

Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Hata akiomba msamaha hawezi kupewa heshima ambayo alikuwa anapewa.
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Ilikuwa hujui mpaka leo hii!
 
pole kwankichelewa kulifaham hilo. wenzio tulishajua mapema before jpm.. before jk
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Kwa hiyo, nini maoni yako
 
Kufa,umia au nenda jela kama Mdude kwaajili ya siasa za Bongo alafu mwisho wa siku mnaemfia anakuwa naibu waziri Bwana Morel au Waitara
 
Kilichomtoa Dr Slaa pale Ufipa ni msimo wake.

Hizo habari za kusema alinunuliwa sijui mkewe alimfungia ndani ni propaganda tu.
Kweli kabisa,msimamo wake wa kumkataa Lowasa ambae miaka yote yeye Slaa alimtanabaisha kama mmoja wa mafisadi. alafu anakaribishwa eti kwasababu kaweza kumnunua Mbowe mmiliki wa chama!,mzee wa watu akajiondokea chama kikafa kimikakati na weredi.
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Sio hao tu,hata ingekuwa wewe ungafanya hivyihivyo
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Tafadhali Siku zingine uache kabisa Kumfafanisha Mzee Joseph Butiku ( Jicho Kuu Kiakili la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Utawala wake wote ) na hawa 'Majuha' wengine uliowataja hapa sawa?
 
Huwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.

Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Yaani hata hajishtukii

Ndio kwanza anakunja 4 bungeni
 
Wanasiasa ni kama wachezaji soka.

Akiwa team A utasikia "nafurahi sana kuwepo kwenye club hii ni club ya ndoto yangu, nitajitolea kwa uwezo wangu wote kuisaidia team hii kushinda vikombe"

Ghafla team B ikipanda dau anahama halafu interview unasikia

"team B ndio team bora kuliko zote duniani na ndio team ninayoipenda toka utotoni ndio team ya ndoyo yangu nitajitahidi kupambana tushinde makombe mengi kadiri tuwezavyo".

Team C ikija mambo ni yale yale.

Pesa inahamisha akili.
Bora hao wana timu.

Hawa wabunge wasio na vyama katika nchi isiyo na wagombea binafsi ni kituko zaidi.
 
Unamuacha wapi mbowe ambae alihongwa na Lowassa akamtimua Slaa?

Wanasiasa wa upinzani nchi hii ni wachumia tumbo tu hawana msaada ama nia ya kutusaidia kuiondoa ccm.

Wanataka demokrasia huku wao vi wenyeviti wa maisha wa vyama vyao.

Umemaliza yote mkuu
Baada ya kuusoma mchezo na kugundua hakuna ukweli hata kwa boss wao Kina Halima wamejiongeza
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.
Tumia akili hizi hizi kuhoji ccm ubora wa elimu huduma za afya kupungua kwa umaskini kuongezeka gharama ya maisha
 
Kweli kabisa,msimamo wake wa kumkataa Lowasa ambae miaka yote yeye Slaa alimtanabaisha kama mmoja wa mafisadi. alafu anakaribishwa eti kwasababu kaweza kumnunua Mbowe mmiliki wa chama!,mzee wa watu akajiondokea chama kikafa kimikakati na weredi.
Na kwa Sasa slaa Yuko na kina lowasa chama kimoja ccm.Siasa kwa kweli ni mchezo mchafu
 
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k

Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!

Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.

Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.

Kazi iendelee.

Usisahau katika safari ya mamba na Kenge wapo!
 
Back
Top Bottom