'Bilioni 59 za Wanajeshi wetu zimekwenda wapi? nataka leo ujibu'- Halima Mdee kamuuliza Waziri
Hivi tulivyomuondosha kanari bakari kipindi kile, tulipewa nn
Ficha upambavu wako...!!!Ya Kawe ameshayatatua???
Ni bora ukaendelea kuuza tshirts na kofia za chama hapo Lumumba.Wasiolipwa wataje majina yao hapo ama sivyo kila mtu anyamaze...na atembee mwendo wa Chura... Mwisho wa Kunukuu