Mdee aichana chana CCM Leo.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu naomba mwenye audio au video clip ya alichochangia leo Mh Halima Mdee (Mbunge wa kawe -chadema) aiweke hapa.

Nimefanikiwa kuisikia kidogo kwenyd Amplifaya na Millard Ayo.
Mh Halima ameichana chana serikali ya ccm na mawaziri wake waliopo na waliopita.

Modes changamkeni watu walipate bunge,au na nyie ni kama ile televisheni pendwa!!#!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom