Mdau wa nani Amjibu Mzee Mwanakijiji kuhusiana na VODACOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdau wa nani Amjibu Mzee Mwanakijiji kuhusiana na VODACOM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gembe, Jun 4, 2009.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hii nimeitoa kwa Nani ii kule: Mwanakijiji wameamua kukujibu sasa!

  Link:MICHUZI

  Mytake:

  Kwani Mzee Mwanakijiji alitoa AMRI?
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa ana roho mbaya, jinsi alivyopiga pabaya toka mwanzoni.

  Kadai Mwanakijiji hakai Tanzania, hawezi kuathirika na chochote, achilia mbali kujua the first thing about kutumia Voda na Tigo na Zantel na Zain... Utajibuje nyundo kama hiyo?
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mazee mnaishushia hadhi JF kwa kujadili hoja za vichwa panzi wa kkule wa Michu. Mazee JF ni home of Great Thinkers!!

  Mzee Gembe vipi tena? Kuna mtu amekuibia password au?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Gembe aingie kwenye list ya watoa Pumba JF!
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Huogopi kufungiwa? Hii wiki ya fungafunga, shauri yako. oooh nilisahau, kumbe ni wewe...
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jun 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,406
  Likes Received: 28,211
  Trophy Points: 280
  Elitism at its best...
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Teh Teh teh teh teh sina immunity ndugu yangu! Akina nani wamefungiwa baada ya Pdidy na LazaroMtindi?
   
 8. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona umechelewa,Nimo kwenye hiyo List muda mrefu!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Haya mkuu siku njema!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja ya Mwanakijiji
  Tususie huduma za mtandao wa Vodacom. Hiyo misaadani danganya toto ili wapate uhalali.
  Pesa si suluhisho la kuondoa umaskini na ufukarawa watanzania. Kazi na fursa
   
 11. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,202
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280
  Abdulhalim
  Asante sana. Lakini usishangae.. huyu Gembe ndio zake hizo. Ubongo wake sidhani hata ukiuweka kwenye kizibo cha fanta utaenea. Mwanche alivyo. Mimi siku zote huwa nahisi ni yule mganga njaa wa chama cha majambazi Tabwe Hiza. Kwa kawaida ndio huwa mtu wa pumba namna hii.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jun 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,406
  Likes Received: 28,211
  Trophy Points: 280
  Kosa la kwanza ni kusema Mwanakijiji katoa amri. Kosa la pili ni kudhania (assume) Mwanakijiji ana mamlaka na hivyo "amri" yake kama ikifuatwa italeta madhara makubwa ya kibiashara.

  Jamaa aliyeandika hayo majibu hajui kujenga na kupangua hoja. Hoja zake zina mapengo na mapungufu mengi moja na kubwa ni kusema maoni ya Mwanakijiji ni Amri.
   
 13. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Chukua Time!
   
 14. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ngabu,

  Tupo ukurasa mmoja Mkuu,Na inavyonekana hiyo imejibiwa na mtu wa Vodacom na Huyo Naniiii akaambiwa aiweke ili kuonesha vodacom inafanya nini.

  Mapambano ya kifikra kazi ipo,wataendelea kujibu mpaka wachoke na kwa kuw aMzee Mwanakijiji aliomba wanharakati basi yeye siyo mmoja wao kwanini imemuuama mpaka kuoredhesha maneno mengi?!

  Sijui mwanakijiji awaapuuzie au amjibu kabisa mdau!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,406
  Likes Received: 28,211
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahahaa....Mwanakijiji ni bora asijisumbue hata kujibu hizo hoja.
   
 16. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Who the hell is Tambwe Hizza,Mie sijawahi kabisa kuingia katika siasa na sina nja kama unavyofikiria..weew umejawa na matatizo tu na shida nyingi na bado uanjiongezea kwa kunifikira mimi ni nani?

  Kitu kingine,wee nakuzidi akili kupitiliza na zile alizonazo mganga wako na wee siyo mtu wa viwango vyangu so usipoteze muda wako kujibu thread yangu!

  bwa bwa bwa .hoi hoi...
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kuna haja ya kuanza kutumia the little bit of "purchasing power" ili kutoa statement kuhusu social justice na ku protest ufisadi. Nilichokiona katika hii saga ni vitu viwili.

  1.Mwanakijiji anataka watu wapige a great leap forward bila kuanza kidogo, ingawa protesting ni muhimu, vile vile inabidi kufikiria kufanya hizi protets katika njia iliyo practical na inayo sympathize na sacrifice watakazoingia protesters.

  2.Huyo jamaa anayempinga Mwanakijiji either hana clue kuhusu role of protest by purchasing power in achieving social justice, au ni mtu aliyezoea na kuukubali ufisadi. Moreover ana sound kama ni mfanyakazi wa PR machine ya Vodacom na Vodacom inaogopa loss of clientelle lakini at the same time haitaki kulumbana na Mwanakijiji formally publicly.  He bu tuangalie points zake.

  Kitu cha kwanza kabisa ninachokipata kabla ya kuanza kumsoma namuona jamaa ni bonge la mjomba-mjomba fulani ambaye hajui hata netiquette yakutotumia all caps, anaonekana ana jazba.Lakini kabla hujasema nina attack style bila kuangalia content, ngoja tuingie katika content.

  Kuishi/ kutoishi Tanzania si hoja. Muandishi anaonekana hajui kuwa tunaishi katika enzi ya "Flat World" kama anavyosema Thomas L. Friedman. Unaweza kukuta watu wako Tanzania na wanaishi maisha kama Malibu na watu wako New York City wana hustle kama mtaa wa Congo.Watu wanaweza kuwa detroit wakaijua nchi vizuri kuliko watu wa Ocean Road.Kwa hiyo hii hoja ni mgando na imebaki katika miaka ya kabla ya internet na mitandao ya simu, siku hizi inaweza kuwa rahisi kuongea kati ya international borders kuliko kuongea ndani ya nchi. Kwa hiyo hii ni hogwash wanayoitumia mafisadi kuwa discredit dissident ambao wako nje ya nchi zao kwa sababu mbalimbali, mojawapo ikiwa freedom of speech.

  Anachoshindwa kuelewa huyu bwana ni tofauti ya legal process na social justice.Hii boycott imeitwa precisely kwa sababu the legal system in Tanzania is inadequate to address some of this issues.Sasa wewe rais kashikwa mkononi na Rostam, Rostam kaishika Vodacom, unataka kesi ya Rostam iende kwenye legal process ya Tanzania, kesi ya ngedere unataka kumpa Nyani. Ndiyo maana watu wanataka wananchi wajichukulie jukumu la kuiadibisha Vodacom na makampuni mengine yenye investment za kifisadi.

  Kwa hiyo unataka ku-prostitute justice kwa ajira? Kama Vodacom ina constitute toxic investments zinazotokana na ufisadi wewe unataka kufumba macho kwa sababu wanatoa ajira? Hapo si unajiingiza kwenye ufisadi na wewe? Kwani watu waki boycott Vodacom na kwenda kampuni nyingine ambayo haina ufisadi ajira hazitaongezeka? Mbona tunashindwa kuelewa simple economics?

  Likewise, kama Voda ni ya kifisadi, na wananchi wanai boycott, halafu inakufa, halafu kampuni nyingine ambayo si ya kifisadi inachukua clientelle ya Vodacom tatizo liko wapi? Level ya business si itabaki ile ile? Yani Tanzania watu hawawezi kupata ajira na biashara mpaka iwe kutoka kwa Vodacom?

  Kwa hiyo mtu akikwambia am rape dada yako mdogo halafu atamlipia ada ya shule utakubali? Kama Vodacom wametumia mtaji wa kifisadi hii ni financial rape, sasa hizi PR stunts za kutoa misaada mbona karibu makampuni yote makubwa yanafanya? Watu wakiisusia Vodacom kampuni nyingine zitashindwa kutoa misaada?

  Vodacom peke yao ndio wanaoweza kufanya hili? Wewe unakubali kuibiwa almasi kwa sababu tu aliyekuibia baada ya kukuibia kakupa peremende? Utalinganishaje grand corruption na watoto watatu kupelekwa Ubelgiji? Yaani hivi vi point vinaonyesha njinsi gani muandishi anafikiria in a very parochial way.

  Hivi ni Vodacom pekee ndiyo inayoweza kufanya hivi? Wao ndio wa kwanza kufanya hivi? HAkuna mwingine anayeweza ila Vodacom? Vodacom wakimtukana rais kwa mfano, waachiwe kwa sababu wanadhamini ligi kuu? Kama shutuma za ufisadi ni za kweli, walichofanya ni zaidi ya kumtukana rais, wamewaibia watanzzania wote.Muandishi alichotakiwa kufanya ili kuwanusuru Vodacom ni kutoa makanusho ya nguvu dhidi ya tuhuma hizi, mpaka hapa hajafanya hivyo. Ni kama mtu kashtakiwa anahukumiwa mahakamani, anaanza kusema "mheshimiwa hakimu mimi ninasaidia sana jamii, nina watoto na mke" ukisikia mtu anasema hivyo ujue amekubali kosa ila anaomba apewe kifungo chepesi. Sasa huyu mwandishi anakubali kwamba Vodacom ni ya kifisadi?

  More of the same, hajaonyesha Vodacom si ya kifisadi ila anaonyesha wanatoa misaada.Hatutaki misaada ya fedha za wizi.Kama unaweza kutuambia Vodacom haina fedha za kifisadi unaweza kujenga hoja, ukiongea mambo ya misaada unaonyesha umekubali Vodacom ni ya kifisadi ila tuihurumie kwa sababu inatoa misaada mbuzi. Hogwash.

  Still very parochial, mtu akikuibia halafu kuja na huduma nzuri utasema asichukuliwe hatua kwa sababu ana huduma nzuri?

  Huyu njaa inamsumbua, inawezekana ni fisadi mtoto na mfanyakazi wa Vodacom ameuza principle yake kwa vipande vya mkate vinavyoanguka kutoka kwenye meza ya mafisadi.

  Si lazima alternatives zitajwe, zikitajwa mtasema Mwanakijiji mfanyabiashara anatumiwa na maadui wa Vodacom.Watu wenyewe watafute alternatives nyingine, kwa kutotaja kampuni nyingine mtoa mada ya boycott amesema indirectly kwamba nyingine ni sawa, Vodacom ndiko kwenye matatizo.Kama unajua matatizo sehemu nyingine ya ku warrant boycott yalete tuwape discipline zao.

  Umeshindwa kuonyesha ni vipi Vodacom ina faida zaidi ya hasara kwa jamaii.Umeshindwa kuonyesha kwa nini Vodacom ni indisposable katika environment yenye muliplayers.

  Tanzania inahitaji lawsuit na boycott cultures ili kurekebishana.Mara nyingine wafanyabiashara wanafanya the most of what they can get away with, sasa hizi cultures za lawsuit na boycott zitawaonyesha directly mipaka ya wananchi wanachoweza kuvumilia iko wapi.
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Niko nyuma yako mkuu wangu!
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma mkuu. Kupigania haki kunahitaji watu wa kujitoa si watu waoga na wanaodhani vizawadi toka kwa wezi ndio maendeleo.
  Wananikumbusha yule mwizi aliyekurupushwa akakimbia huku akitupa noti njiani na waliokuwa wakimfukuza wakaishia kuziokota na kumuacha atokomee:D
   
 20. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Goos Stuff Bluray!

  Umeweka kila kitu bayana!
   
Loading...