Mdaiwa Sugu.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mzee mmoja alikuwa anadaiwa madeni mengi yasiyolipika.Katika wote wanaomdai,kuna jamaa aliyemkopesha sh.5000
ndo alikuwa anamsumbua kila siku kumdai pesa yake.Siku moja alfajiri yule jamaa akamuibukia yule mzee huku akisema leo iwe isiwe lazima unilipe deni langu.Yule mzee akamwuliza yule kijana;kijana,hivi kati ya mtu mrefu na mtu mfupi nani huanza kudondokewa na matone ya mvua?.Kijana akajibu;mrefu.Mzee akasema;Hata katika ulipaji wa madeni ni hivyo hivyo,niache nimalize kuwalipa wale wanaonidai madeni makubwa kwanza,nikiwamaliza hao nitakufikiria na wewe.Yule kijana akatikisa kichwa na kuondoka moja kwa moja.
 
haha mkuu umenikumbusha! kesho naenda kudai hela yangu
 
ukiona mtu hadai wala hadaiwi jua kuwa huyo mtu ana matatizo na jamii inayomzunguka yaani hakopi wala hakopeshwi! Ktk maisha ni LAZIMA UDAI AU UDAIWE.
 
Nawadai watu nyingi tu halafu naona aibu hata kuwadai!

yaelekea umechoshwa na sound zao...sijui hawa watu (wadaiwa) huwa wanatoa wapi sound...yaani utaenda na hasira unarudi mpoleeeee.......
 
Madeni ni shm ya maisha ya binadamu but yakiwa mengi ni kero na kuelekea kufilisika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom