Mdahalo wa wazi kuhusu Muungano wa Tanzania kufanyika UDSM 26.04.2017

hao UDASA wajinga mchakakato umepelekwa kwa wananchi umejadiliwa wametoa maoni kupitia wawakilishi wao wabunge na baraza LA wawakilishi ambao ni bunge LA katiba wakatoa maamuzi hawa Udasa wanataka kujadili nini wako juu ya wananchi MA bunge la katiba? magufuli umekuwa ukiteua wasomi toka chuo kikuu change DSM hao watakaoshiriki huo mdahalo ambao ni walimu wa chuo kikuu ukiwateua Post yeyote siji tena kutetea chochote cha serikali ya CCM humu. wasomi wanatakiwa kuheshimu maamuzi ya wananchi na mihimili mingine ikiwemo bunge la katiba
Hakuna wasomi hapo, ni mihemko mwanzo mwisho mfano huyu George Kahangwa ni nyumbx wa mangi Mbatia
 
Kwanza hakuna sheria yoyote au maandiko yoyote ya Serikali wanasema kuongea kuhusu Muungano basi ni kesi hiyo Mimi sijawahi kusikia wala kuona hapa Tanzania.

Kuhusu faida za Muungano ni nyingi tu kwanza unaongeza market area interns of population

Pili unaongeza wigo wa usalama kwa nchi hasa mpaka ya bahari kuu

Tatu walikuwa na interest binafsi na kisiwa baada ya Muungano ni ngumu sana kwasababu kwa sasa lazima wapite Serikali ya Muungano kwa mahusiano ya kimataifa.

Visiwa vilivyo vingi huwa haviko vyenyewe tu kwa sababu za kiusalama Mara nyingi huwa viko chini ya mataifa Makubwa Pamoja na utawala wao wa ndani
1. Kuhusu kesi najua hakuna uwepo wa sheria ingawa mara nyingi ukikosoa muungano au ukifanya attempts za kutaka uvunjwe kma maalim seif au lisu unaitwa mchochezi na unaswekwa ndani kma kina jumbe au mvungi aliyeishia kuuawa so nkawa najiuliza why serikali wanakuwa wakali sana.....

2.kuongeza market ssa iweje population ya watu sio zaidi ya million tunaungana nao ila a bigget market of over 60 miliion people ya EAST african community tunakataa kma hoja ni market size ???

3 kuhusu usalama so unaona kuwa we are more safe tukiungana na kisiwa kuliko kuungana na congo iliyojaa rebels ambao ni security threat kwa nchi yetu??? Au burundi ambao kipa siku rebels wao wanafanya ujambazi kwenye mipaka yetu???? Yaani how risky is a 2 million population to our security than a hostile 80 milion people in the mega country of Congo DRC???

4. Ok interest binafsi kwa rasilimali gani zilizopo zanzibar kuliko muogope interest walizonazo ugand au kenya ambao wazungu wakiamua kuwatumia wanatumaliza asbuhi tu maana wana extreme resources to do so

Also kma issue ni kuingia kivp wanashindwa wakati hta tanzania bara wanaingia mikataba ya kinyonyaji?? Hivi unajua gesi itakayochimbwa na mafuta kule zenji ni nani atausimamia??? Mnajua ni nchi gani inayowadai mabilion inatala iyarudishe kupitia zenji na nyie mmekubali?? Ssa kma wameweza huku mkiwa na muungano kuna haja gani ya kuungana nao sasa if at all hoja ni KUILINDA ZANZIBAR FROM INTERNATIONAL INTERESTS

Pia karesearch aliyewapa kiburi cha kuandika katiba inayotambua zenji ni nchi kamili hku kikwete akikaa kimya ukijua aliyewapa orders na kiburi ndio uje useme kuwa TUMEUNGANA ILI KUWALINDA NA INTERNATIONAL INTERESTS AND EXTERNAL INFLUENCE!!!!!

5.sasa kma hoja ni usalama mbona comoro hailo mbali sana na hamjaungana nayo??? Kisiwa cha idjwi kwenye lake tanganyika mbona hamkichukui wakati ni threat kwa usalama wa kigoma hasa ukizingatia kuna rebels kibao maana kipo mashariki mwa congo why zanzibar not idjwi or comoro????

Mkuu ukinijibu hili dukuduku langu utakuwa umenisaidia sana ila all in all nmependa maelezo yako...... thanks
 
Kwa watanzania wote,
Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), imeandaa mdahalo wa wazi utakaowapa wananchi fursa ya kuutafakari Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwa kuangalia tulikotoka, tulipo na tunakoelekea.
Mdahalo utafanyika katika ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kampasi ya Mlimani, mnamo tarehe 26.04.2016, siku ya jumatano, kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 12.00 jioni. Tutakuwa na wachokoza mada wakuu wanne (wawili wanataaluma na wawili wananchi).

Wananchi wote mnakaribishwa. Hakuna kiingilio.

Aidha, kwa wasioweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali, tunapenda kuwataarifu kuwa wanaweza kuufuatilia mdahalo huu mubashara kupitia ITV.

Karibuni sana.

George Kahangwa
Mwenyekiti wa UDASA

Joseph Mihangwa wa gazeti la Raia Mwema ni mzuri, sana kwenye eneo hili
 
1. Kuhusu kesi najua hakuna uwepo wa sheria ingawa mara nyingi ukikosoa muungano au ukifanya attempts za kutaka uvunjwe kma maalim seif au lisu unaitwa mchochezi na unaswekwa ndani kma kina jumbe au mvungi aliyeishia kuuawa so nkawa najiuliza why serikali wanakuwa wakali sana.....

2.kuongeza market ssa iweje population ya watu sio zaidi ya million tunaungana nao ila a bigget market of over 60 miliion people ya EAST african community tunakataa kma hoja ni market size ???

3 kuhusu usalama so unaona kuwa we are more safe tukiungana na kisiwa kuliko kuungana na congo iliyojaa rebels ambao ni security threat kwa nchi yetu??? Au burundi ambao kipa siku rebels wao wanafanya ujambazi kwenye mipaka yetu???? Yaani how risky is a 2 million population to our security than a hostile 80 milion people in the mega country of Congo DRC???

4. Ok interest binafsi kwa rasilimali gani zilizopo zanzibar kuliko muogope interest walizonazo ugand au kenya ambao wazungu wakiamua kuwatumia wanatumaliza asbuhi tu maana wana extreme resources to do so

Also kma issue ni kuingia kivp wanashindwa wakati hta tanzania bara wanaingia mikataba ya kinyonyaji?? Hivi unajua gesi itakayochimbwa na mafuta kule zenji ni nani atausimamia??? Mnajua ni nchi gani inayowadai mabilion inatala iyarudishe kupitia zenji na nyie mmekubali?? Ssa kma wameweza huku mkiwa na muungano kuna haja gani ya kuungana nao sasa if at all hoja ni KUILINDA ZANZIBAR FROM INTERNATIONAL INTERESTS

Pia karesearch aliyewapa kiburi cha kuandika katiba inayotambua zenji ni nchi kamili hku kikwete akikaa kimya ukijua aliyewapa orders na kiburi ndio uje useme kuwa TUMEUNGANA ILI KUWALINDA NA INTERNATIONAL INTERESTS AND EXTERNAL INFLUENCE!!!!!

5.sasa kma hoja ni usalama mbona comoro hailo mbali sana na hamjaungana nayo??? Kisiwa cha idjwi kwenye lake tanganyika mbona hamkichukui wakati ni threat kwa usalama wa kigoma hasa ukizingatia kuna rebels kibao maana kipo mashariki mwa congo why zanzibar not idjwi or comoro????

Mkuu ukinijibu hili dukuduku langu utakuwa umenisaidia sana ila all in all nmependa maelezo yako...... thanks
Serikali na Viongozi wamekula kiapo cha kulinda Serikali na Serikali ni Pamoja na Muungano kwahiyo yoyote atayeonyesha njia ya kutaka kuvunja Muungano huyo ni adui way am shughuli kila ipasavyo.

Kuhusu usalama huwezi kuungana DRC yenye machafuko na waasi kila kona lakini tuna uwezo wa kuhakikisha mpaka yetu na DRC iko imara hiyo inatosha.

Bahari ni lango la kila kitu na mpaka wa bahari wa Tanzania ni mkubwa na kuungana na Zanzibar imeongeza nguvu ya ulinzi ktk bahari kuu.

Suala EAC hilo kama jumuia kuelea ktk shirikisho bado maongezi hapo na room IPO ila ukiwa na eneo kuwa la kiutawala na power yako itakuwa kubwa ni principal tu hiyo.

Kuhusu rasilimali za Zanzibar hata kama zipo zina sheria zake ktk management yake wala mamlaka ya ndani ya Zanzibar haiwezi kukandamizwa kwasababu tu eti wako chini ya Muungano.

Kuhusu Katiba mpya ni suala la kisheria zaidi na si hisia hapo.Kwasababu mchakato wako ulianza kwa kurekebisha sheria na sheria itakoa maelekezo yote namna ya kuanza mchakato wa Katiba mpaka utakavyomalizika.
 
Kwanza hakuna sheria yoyote au maandiko yoyote ya Serikali wanasema kuongea kuhusu Muungano basi ni kesi hiyo Mimi sijawahi kusikia wala kuona hapa Tanzania.

Kuhusu faida za Muungano ni nyingi tu kwanza unaongeza market area interns of population

Pili unaongeza wigo wa usalama kwa nchi hasa mpaka ya bahari kuu

Tatu walikuwa na interest binafsi na kisiwa baada ya Muungano ni ngumu sana kwasababu kwa sasa lazima wapite Serikali ya Muungano kwa mahusiano ya kimataifa.

Visiwa vilivyo vingi huwa haviko vyenyewe tu kwa sababu za kiusalama Mara nyingi huwa viko chini ya mataifa Makubwa Pamoja na utawala wao wa ndani
Kwa hiyo Zanzibar imeongeza market? Mbona tunafanya biashara na makumi ya nchi bila hata kuungana nao? Kenya wako juu kiuchumi pamoja na south Africa ,wameungana na nani?
 
China vs Taiwan
Nimekupata mkuu wacha kikapate urojo
 
Natamani vyuo vingine viige UDASA kitu wanachofanya sio kukaa tu ofisini kula ubuyu wa bashite:D:D:D
Udom Mzumbe and the likes,
 
Kwa hiyo Zanzibar imeongeza market? Mbona tunafanya biashara na makumi ya nchi bila hata kuungana nao? Kenya wako juu kiuchumi pamoja na south Africa ,wameungana na nani?
Free market unaweza kuanzisha biashara Zanzibar au Bara bila masharti zaidi leseni ya biashara lipa kodi endesha biashara yako.

Tofauti na biashara na Tanzania na Kenya au South Africa
 
Serikali na Viongozi wamekula kiapo cha kulinda Serikali na Serikali ni Pamoja na Muungano kwahiyo yoyote atayeonyesha njia ya kutaka kuvunja Muungano huyo ni adui way am shughuli kila ipasavyo.

Kuhusu usalama huwezi kuungana DRC yenye machafuko na waasi kila kona lakini tuna uwezo wa kuhakikisha mpaka yetu na DRC iko imara hiyo inatosha.

Bahari ni lango la kila kitu na mpaka wa bahari wa Tanzania ni mkubwa na kuungana na Zanzibar imeongeza nguvu ya ulinzi ktk bahari kuu.

Suala EAC hilo kama jumuia kuelea ktk shirikisho bado maongezi hapo na room IPO ila ukiwa na eneo kuwa la kiutawala na power yako itakuwa kubwa ni principal tu hiyo.

Kuhusu rasilimali za Zanzibar hata kama zipo zina sheria zake ktk management yake wala mamlaka ya ndani ya Zanzibar haiwezi kukandamizwa kwasababu tu eti wako chini ya Muungano.

Kuhusu Katiba mpya ni suala la kisheria zaidi na si hisia hapo.Kwasababu mchakato wako ulianza kwa kurekebisha sheria na sheria itakoa maelekezo yote namna ya kuanza mchakato wa Katiba mpaka utakavyomalizika.
Sawa wanahaki ya kuulinda lakini kma hauna faida yotote kwetu sisi wanaung'ang'ania wa nni???? Je kma hatuutaki kma walivyoukataa waingereza EU au tanzania tulivyojitoaga EAC enzi za mwalimu ila iweje muungano wa zanzibar unalazimishwa hivi???? Yaani una nini cha unique ambacho comoro hawana au idjwi?????

Pia mkuu hujanijibu kuhusu market size kwamba iweje mozambique au malawi wako wengi kuliko zenji lakini hatuungani nao kma kigezo ni market size???

2. Sawa shida yangu sio DRC nachouliza ni kuwa kma risk ni amani huoni DRC ni risky than zanzibar??? Kma ni bahari huoni lake tanganyika pia ni risk maana kulinda mpaka wa maji ni ngumu sana kwanni hamuungani na DRC yenye mpaka wa bahari mnaungana na zanzibar???

3. Haya unasema bahari ni lango kuu la kila kitu je comoro na lamu na idjwi sio risk kuliko zanzibar??? Yaani why not comoro but zanzibar wakati comoro ina french imperialists bado wanakambi za kijeshi kule??? Kma hoja ni bahari mbona comoro na mauritius hamuungani navyo????

4.eneo kubwa power kubwa?? Ssa power gani ambayo unaipata ukiungana na zenji kuliko na kenya??? Huoni kenya ina vast resources kuliko zenji??? Eti mkuu why power over zenji kuliko kenya??

5.sawa umesema ina uhuru wake ssa mboma unadai mnailinda from wazungu wanaoitolea macho?? Kma mnajua iko independent kuamua mambo yake hyo hoja ya kuwalinda inatokea wapi if at all hawapiti kwenye serikali ya muungano ili kuwafikia serikali ya zanzibar????

I want to gain something hapa ntashkuru kwa darasa lako
 
Back
Top Bottom