Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Albedo, Sep 25, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wadau leo Wagombea Ubunge vijana wataumana katika mdahalo unaorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa moja kamili mpaka saa tatu.

  Superman upo ha ha ha

  Washiriki ambao wako hewani ni

  ZITTO KABWE - CHADEMA
  REGIA MTEMA - CHADEMA
  JOHN MNYIKA - CHADEMA
  JOHN MREMA - CHADEMA
  JULIUS MTATIRO - CUF
  HALIMA MDEE - CHADEMA
  LIMBU LUKAS - CUF
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yupo Zito, Mnyika, Regia Mtema, John Mrema, Julius Mtatiro
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa Wawakilishi wa CCM hawajaingia
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  wa ccm hawatokei hapo .............labda wa cuf
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Namuona Regia Mtema aka GS ndani ya Nyumba
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  ndege ya uchumi mbona updates zimeisha
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wajumbe wanajitambulisha kwa ufupi na kueleza sababu za wao kujitosa kuwania ubunge, Amenza Mtatiro, akafuatia Mnyika na sasa ni mwakilishi mwingine wa CUF, narekodi audio kama ikiwa fresh nitaiweka hapa just after mdahalo
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Anafuatia Regia Mtema wa CHADEMA
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Anasema baada ya kuona watu wa Kilombero wana raslimali nyingi lakin i Kilombero ni Maskini sana, baada ya kutafakari akagundua kwamba Tatizo ni Uongozi, anaelezea kupanda kwa ghara za maisha hasa bei ya sukari ambako kiwando kiko Kilombero, anaelezea tatizo la Umeme pamoja na Kilombero kuwa na Vinu wiwili vya kutengeneza Umeme
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa ni Zitto kabwe:

  Anashukuru kwa mdahalo huu! Changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi

  Anaelezea madaraji katika Nchi, Matajiri na Maskini, Shule za Maskini na Shule Tajiri, Ukuajia wa Uchumi hauendani na Kipato cha mwanachi.
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Halima Mdee ameingia na Mjumbe mwingine wa CUF anaitwa Limbu wanaingia Ukumbini
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa ni Zamu ya Mgombeawa CUF bwana Limbu
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kadawi Lucas limbu - CUF
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa John Mrema
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa hakuna aliyeongelea kuhusu mabadiliko ya Katiba
   
 16. h

  hagonga Senior Member

  #16
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  John Mrema sasa
   
 17. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  ccm nasikia watatuma mwakilishi .je naye ni mgombea
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah limbu wa cuf amenifurahisha sana
   
 19. h

  hagonga Senior Member

  #19
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima aomba radhi kwa kuchelewa, mfano mzuri
   
 20. h

  hagonga Senior Member

  #20
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima asema, watoto wa kike washiriki siasa
   
Loading...