Mdahalo Wa Wagombea Uraisi Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo Wa Wagombea Uraisi Zanzibar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Falconer, Sep 23, 2010.

 1. F

  Falconer JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Habari za kuaminika zinasema kuwa leo ule mdahalo ulioandaliwa Zanzibar, wahudhuri hawakufika isipokuwa Maalimi Seif Sharrif pekee yake. Maalim Seif akihojiwa na waandishi wa habari aliieleza ilani ya chama chake juu ya Zanzibar. Lakusikitisha ni kuwa Ali mohammed Shein hakuwepo wala wapinzani wenza pia hawakuwepo.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Inaonekana Tanzania nzima yeye ndie mpinzani wa kweli.
   
Loading...