Mdahalo wa wagombea ubunge vijana....ccm kama kawaida wameingia mitini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa wagombea ubunge vijana....ccm kama kawaida wameingia mitini!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BornTown, Sep 27, 2010.

 1. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi juzi jumamosi kulikuwa na Mdahalo LIVE kupitia ITV uliokuwa uanafanyika MovenPick Hotel chini ya mwenyekiti Jenerali Ulimwengu.

  Mdahalo ulikuwa kuwakutanisha wagombea Ubunge Vijana watueleze sisi wananchi kwanini wagombea na ulikuwa ni wa vyama 3: CCM,CHADEMA na CUF. Kama kawaida CCM walipotea hawakuonena ingawa kulikuwapo na makada wa CCM ukumbini.

  Mdahalo ulikuwa mzuri kwani maswali yaliokuwa wakiulizwa yalikuwa ni mazuri, walizungumzia mambo ya ELIMU,AFYA,AJIRA na UFISADI

  Swali: 1. JE CCM HAINA WAGOMBEA VIJANA???
  2. NA KWANINI WALIKUBALI KUSHIRIKI HALAFU WAKATOKOMEA KUSIKOJULIKANA?
  3. HAO MAKADA WALIOKUWAPO UKUMBINI WALIKUJA KUFANYANINI AMA
  WALITUMWA NA NANI?
   
Loading...