Mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la igunga

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Hello everybody,
'The Tanzania We Want' iko Jimboni Igunga kwa ajili ya mdahalo na wagombea ubunge wa CCM, CUF na CHADEMA, mdahlo huu hautakuwa live, utakuwa recorded na baadaye kurushwa na Star Tv. siku ya kurushwa kipindi hicho itatajwa baadaye (huenda ikawa Jumapili 25, Sept kuanzia saa 11 mpaka saa 1 usiku.

SOURCE: Tetesi
 
Hakuna kitu magamba wanaogopa kama mdahalo! Hawatathubutu kuingiza timu kwenye mdahalo. Ninukuu halafu utakuja kuniambia!
 
kama sio live nashauri vyama vyote visishiriki,recorded and edited version itakuwa imechakachuliwa.hauna maana kama sio live!!!
 
Umeandaliwa na taasisi gani?hebu tudokeze tuweze kujiridhisha nao,usijekuwa umeandaliwa na BAKWATA ya Igunga.
 
Umeandaliwa na taasisi gani?hebu tudokeze tuweze kujiridhisha nao,usijekuwa umeandaliwa na BAKWATA ya Igunga.

Umeandaliwa na East Africa Business and Media Training Institute na VoxMedia, mwendeshaji (Chair) ni Rosemary Mwakitwange yule wa Tanzania tunayoitaka.
 
Hello everybody,
'The Tanzania We Want' iko Jimboni Igunga kwa ajili ya mdahalo na wagombea ubunge wa CCM, CUF na CHADEMA, mdahlo huu hautakuwa live, utakuwa recorded na baadaye kurushwa na Star Tv. siku ya kurushwa kipindi hicho itatajwa baadaye (huenda ikawa Jumapili 25, Sept kuanzia saa 11 mpaka saa 1 usiku.

SOURCE: Tetesi

kufuatia TBC kutoa matangazo ya CCM pekee, sijui mgombea wa CDM kama ana uwezo wa kujibishana na mgombea wa CCM na CUF. Wa CCM kwa mdomo hajambo
 
Hakuna kitu magamba wanaogopa kama mdahalo! Hawatathubutu kuingiza timu kwenye mdahalo. Ninukuu halafu utakuja kuniambia!

cdhani kama mgombea cdm ataweza kumhoji wa CCM.
namuona kama mpole vile, sio vibrant kama huyu fataki wa CCM.

Lakini wadau mnaweza kumpa hints za kuongea hasa kumbana huyu wa CCM ambaye alikuwa kamishina wa madini na badao nchi ikaangia kwenye mikataba feki inayoligarimu taifa mpaka sasa.
Ahojiwe kwa nini alifanikisha sera hizo kupita wakati akijua ni kandamizi kwa wazawa.
Pia kama alifanikisha hoja hizo kupita ana ubavu gani wa kuziondoa?
 
Back
Top Bottom