Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,407
- 31,392
Ahaa! Mkandara, hata gari bovu utamuona dereva akihangaika,utingo akiweka vigogo! Nadhani tuseme nchi hii inakwena kwa 'Solar Energy'. Tuombe tu solar system isiwe na matatizo! Nafuatilia habari za NASA kila siku si kujua uvumbuzi, bali kuona space na solar vinawezaje kuathiri mwenendo wa nchi hii.Mzee Mwanakijiji,
Naloweza kusema tu kwa leo ni kwamba we are out of control! Hili linchi linajiendesha lenyewe kama gari bovu na hakika JK uongozi umemshinda. Haijulikani leo rais wetu ni nani, bunge na mahakama vyote ni vyombo visivyokuwa na mwongozo isipokuwa kwa maslahi ya watu. Hizi ndio athari kubwa za mfumo tulochukua na nakuhakikishia haijalishi nani atakuwa madarakani mambo haya hayatakwisha kesho..