Mdahalo wa UDA Live on Star TV: Updates

Swali: Takukuru ifanye uchunguzi kwenye kampuni....., Nyie ni wamiliki wa UDA iweje sasa useme mmepanga ndani

Jibu; Takukuru wanaendelea na upelelezi tuache waendelee nilishaitwa nikaa na Takukuru masaa 3; Kuhusu kupanga Simon group sio mmililki wa UDA ni mmoja wa wamiliki wa UDA na mimi ninapanga pale lakini Manji anapanga eneo kubwa na analipa pesa kidogo
 
Haaaaaaaaa QUALITY GROUP(YUSUPH MANJI) WAMEKODISHA HEKARI ZAIDI YA 12 UDA KWA MALIPO YA SH.MIL 20 KWA MWAKA
 
jamaa anaonekana yuko njema kiafya. hana glass ya maji kama jamaa mmoja hivi ambaye kama hakuna glasi ya maji pembeni, basi kunakuwa ama na abulance au machela.
 
Swali: Upo tayari kurudisha kampuni ya UDA kwa wananchi?
Jibu: Nyie ni watanzania kama mimi ambao tunajitahidi kumiliki rasilimali zetu na nyie mnatumiwa kumzuia Simon Group...., Ningekuwa mimi ningehoji kama wanataka UDA irudi serikalini iendeshwe kwa pesa zipi...., kwa uzalendo wangu mimi ningependa kuwa na shirika na uchukuzi dar lenye nguvu ili bei ya dala dala ishuke sio kuwa na UDA ambayo haina nguvu
 
jamaa anaendelea kujinasibu kuwa anao ukwasi wa kutosha na kwa uzalendo wake anadhani kuna haja ya yeye kuendesha shirika la usafiri dar es salaam ili kutoa changamoto kwa wenye daladala wanaopandisha nauli kila wanapojadiliana na wake zao.
 
jamaa anajitahidi kutumia kete ya "kuwezesha watanzania wazawa" kushawishi audience! kwamba wazawa tunakwamishana!
 
by the way ...................

naomba namba ya simu ya huyu dada anayeendesha show.

nimetokea kumzimia gafla.
 
My Verdict


Huyu jamaa ni tapeli na amejipanga kisheria inabidi wananchi wawe prepared sababu mahakamani hawatashinda inabidi tu hii kitu iwe solved mitaani na kiuzalendo.... kwamba hii contract ilikuwa ni ya kitapeli Void Ab Inicio
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nawashauri star tv next time wanapoandaa mdahalo iwaalike wasomi na sio hao vijana wamekuja bado hawana hata experience ya wanachosoma darasani. Wanauliza maswali yasiyo na utaalamu, nilikuwa namuamini sana kubenea ila kwa leo nilivyomsikiliza anaongea pumba tuu
 
Haaaaaaaaa QUALITY GROUP(YUSUPH MANJI) WAMEKODISHA HEKARI ZAIDI YA 12 UDA KWA MALIPO YA SH.MIL 20 KWA MWAKA

yaani mwenzetu anakodisha hekari 12 kwa 20 mil kwa mwaka? na who knows, huenda kishanunua!

jamani jamani jamani, nchi yangu hii!!!
 
My Verdict


Huyu jamaa ni tapeli na amejipanga kisheria inabidi wananchi wawe prepared sababu mahakamani hawatashinda inabidi tu hii kitu iwe solved mitaani na kiuzalendo.... kwamba hii contract ilikuwa ni ya kitapeli Void Ab Inicio

kwa faida ya wahindi siyo?

kumbe jamaa alivosema tunakwamishana wenyewe alikuwa ana hoja.

heri mtanzania amiliki kampeni kitapeli kuliko Mhindi kumiliki kampuni kihalali.

That is my verdict
 
Mh!hili suala linahitaji umakini sana ili uweze ku'koment, inabidi uwe na info za kutosha! Jamaa wa simon group wapo makini sana and confident! Na jinsi serikali yetu na hizi halmashauri zetu zisivyokuwa makini wakikurupuka wakavunja mkataba kienyeji au kwa sababu za kisiasa na kukomoana, Jamaa wa Simon wanaweza wakalamba fedha nyingi sana za fidia wakienda mahakamani!
 
kampuni za simu zinakwepa kodi kubwa zaidi ya fedha zinazoliwa na mafisadi kwa hiyo fisadi namba moja ni VODA,TIGO,AIRTEL. na kampuni za madini

Mkuu umesema ukweli kabisa. Lkn ujue kwamba unapoongelea ufisadi wa hizi kampuni unawagusa moja kwa moja vigogo wa CCM kwani wengi, kama siyo wote, wana hisa humo
 
Back
Top Bottom