Mdahalo wa UDA Live on Star TV: Updates

huyu dada ni kilaza. ana hukumu bila kukumbuka kuwa jamaa alipewa maelekezo ya maandishi kuwa lipa hapa (bila kusema kama ni akaunti ya idd simba)
 
Swali: Hii transportation charge inakuwaje iwe ndio ununuzi wa Hisa (payment slip)

Jibu: Hio pesa haijalipwa na Simon Group imelipwa na kampuni ya Robersica (ambayo ni kampuni ya kisena) alikuwa anamdai pesa aliyomsafirishia mizigo, kwahiyo simon group alimwambia apeleke hizo pesa kwa Idd Simba
 
Swali: Kampuni yenu haina wanasheria mpaka mkaenda blindly kumpa pesa mtu binafsi (kuonyesha kwamba issue ni ya Kitapeli) na cheki iliandikwa transportation charges na sio cheki ya Hisa

Jibu: tupo covered kisheria tumeandikiwa barua ambayo ni legal binding na wamefata barua ilivyosema walipe wapi. hawakufata kauli ya Iddi Simba bali barua ilivyosema[/QUOTE

my Question:
kama walikua guided na barua na ni legal binding kwa nini wamefungua kesi (desemba 2010) ya kudai hiyo pesa ilipwe kwenye akaunti sahihi? kwa nini walio'instruct kwa kutumia hiyo barua wasiwajibike? kwa nini wawajibike wao Simon group wakati wao walielekezwa?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
chadema shingoo ndefu wanaangalia tv. utadhani wamelizua wao. kila wanachozua wao hutupwa kapuni. ccm bana kwa mbinu. eti halafu iguse ikulu.

una umwa uharo wewe.

kuna mtu anadhibitiwa kutizama TV. au ndo siasa za maji-taka zinawasumbua. niko live kupitia king'amuzi cha EasyTV na kadi yangu ya chadema kibindoni. kama kinakuuma saga chupa unye!
 
Jamani WanaJF mbona hii balaa naomba msaada wenu kujua kisheria ni sawa kampuni ya Umma [UDA] kuweka rehani kiwanja chake kwa mtu binafsi mfanyabiashara wa majumba na viwanja [Real Estate] Fidar Hussein.

Baada ya kuwa UDA walikopa Mabasi saba [7] walipo shindwa kulipa wakaenda kuweka rehani kiwanja chao kwa tajiri Fida Hussein.Kwa upungufu wangu wa kujua sherai iweje benki wasichukue kiwanja kwa nia ya kulipa deni leo hii kiwekwe rehani kwa tajiri huyo.

Jamani naomba masaada.
 
Swali: umelipa pesa kwa Idd Simba kwanini usiende kwa Idd Simba na uende UDA
Jibu: Pesa zilizoingia kwa UDA mpaka sasa ni zaidi ya milioni 800
 
Swali: manunuzi ya hisa umelipia kodi Jibu: yamelipiwa
Swali: Idd Simba anasema pesa ulizolipa na consultation fee Jibu: Swali ni la Idd Simba sio langu
Swali: Umeshiriki baada ya kuongea na wanasheria wako kwamba benki isilipwe huoni kwamba wewe ni muhalifu Jibu: Sio wajibu wetu sisi
 
Back
Top Bottom