Mdahalo wa Ndugai na Lissu kurudiwa

Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 july 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja

Source: Star Tv
Unarudiwa leo jumamosi tarehe 6 July 2011 au ulirudiwa 6July? kama ni leo tarehe 6 August sema!!!
 
Unamsaidia anayeumiza wenzake kwa kumwumiza yeye?
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;





Sure,i overreacted n i apologise sincirely,i never intended to hurt anyone!!
TUWE WAVUMILIVU,TUHESHIMIANE NA TUPENDANE!!
We dnt nd to hurt each other isivyo lazima!!
No hard feelings,Cheers!!!
Thank u Mkuu for Making me see ths!!!
 
Mdahalo umerudiwa. Ila wiki iliyopita, umeme ulipokatikailikuwa ni pale 'Nude guy', sorry I mean Ndugai, alipomalizia kumsemea mhe sita kuwa yuko salama na kuwa ndo ilikuwa Mhe Lissu ajibu; hawakuionyesha. Kwa tafsiri yangu; haikuwa na sababu saaana ya kurudia. Nilidhani hata hiyo sehemu ingeonekana kwa vile mitambo ilkuwa pale ikirekodi.
 
habari yako imekaa kiukilazaukilaza. Hueleweki, simply

we ndo kilaza nini ambacho hakieleweki au unataka uandikiwe kwa kiswa-nglish ndo utaelewa, wabongo bwana wanaumwa ugonjwa wa kiswa-nglish .

"Mungu ana akili sana kumuua Nyerere mapema maana kama angekuwepo sasa na kuyashuhudia haya tuyaonayo angejiua mwenyewe kwa kujitundika"
 
Back
Top Bottom