Mdahalo wa Ndugai na Lissu kurudiwa

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 August, 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja

Source: Star Tv

Kuna mwendelezo alafu kuna marudio,sasa haya ni marudio ama replay.

Umeshaambiwa unarudiwa (repeat), sasa unuliza tena nini?

Asante mwita, haya ni marudio ya kipindi, kwa walikosa umeme siku hiyo huu ndio wakati wetu. Kwa lugha nyingine ni kwamba ile tape inachezwa tena leo yaani ni kama unapomwomba dj arudie mziki 'once more' huwa anarudi tu huo wimbo sio kwamba wimbo unapogwa upya na bendi sawa jamani!!!!

Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 july 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja

Source: Star Tv
habari yako imekaa kiukilazaukilaza. Hueleweki, simply

Muda huo ngeleja atakuwa ameisha rudi kweli

habari yako imekaa kiukilazaukila. Hueleweki, simply
Acha kumkatisha mwenzako tamaa..mbona umeweza kuilewa? Au hutaki kuona marudio jinsi ndugai alivyoongea Pumba?? Badala ya kujibu hoja anahoji mavazi ya chadema...lol magamba..

Nafikiri wewe una tatizo la Kisaikolojia,inaonekana unafurahia Kuwaumiza Wengine!!
Mtu ambaye si Kilaza angewakilishaje wazo lake,angetumia maneno yepi au Muundo upi wa sentensi au Lugha gani ya wanadamu?

Dont hurt others unnecessarily,go see experts in Pyschologists,I believe they will be of great help!!
Sorry if i offended U!!
No Hard Feelings!!!

habari yako imekaa kiukilazaukilaza. Hueleweki, simply

Asante Kingwendu... sorry... Ngwendu, bora nibaki kilaza kuliko kuwa na kama hicho unachotumia wewe kichwani (sina hakika kama ni akili)

Acha kumkatisha mwenzako tamaa..mbona umeweza kuilewa? Au hutaki kuona marudio jinsi ndugai alivyoongea Pumba?? Badala ya kujibu hoja anahoji mavazi ya chadema...lol magamba..

Nafikiri wewe una tatizo la Kisaikolojia,inaonekana unafurahia Kuwaumiza Wengine!!
Mtu ambaye si Kilaza angewakilishaje wazo lake,angetumia maneno yepi au Muundo upi wa sentensi au Lugha gani ya wanadamu?

Dont hurt others unnecessarily,go see experts in Pyschologists,I believe they will be of great help!!
Sorry if i offended U!!
No Hard Feelings!!!

Thanks for your understanding guys, tumsamehe jamani, zingine ni frustrations tu, nchi ina matatizo mengi sana hii jamani.

Nafikiri wewe una tatizo la Kisaikolojia,inaonekana unafurahia Kuwaumiza Wengine!!
Mtu ambaye si Kilaza angewakilishaje wazo lake,angetumia maneno yepi au Muundo upi wa sentensi au Lugha gani ya wanadamu?

Dont hurt others unnecessarily,go see experts in Pyschologists,I believe they will be of great help!!
Sorry if i offended U!!
No Hard Feelings!!!

Unamsaidia anayeumiza wenzake kwa kumwumiza yeye?

Wangemuita tena aje afanye mdahalo mwingine kama muendelezo ili tuendelee kumjua ukilaza wake,poa lakini umeme hakuna so tutakosa.

Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 july 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja

Source: Star Tv

je, watakuwa wamefanya editing? Ngoja tuone wata biase kwa nani. Tunavyojua ni kwamba Ndugai kagaragazwa vibaya mpaka aibu

Back
Top Bottom