MDAHALO WA MUUNGANO na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want' umeahirishwa

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Wadau ule Mdahalo wa Muungano 'The Tanzania We Want' uliokuwa ufanyike Jumapili 11 sept 2011 umeahirishwa,
hii ni kutokana na ajali ya Meli iliyotokea Pemba na kupoteza maisha ya watu wengi.

Mungu mahali pema peponi roho za marehemu, Amen.
 
asante sana kwa kuguswa na msiba wa ndugu zetu. that is the tanzania we want bwana! kwa ccm wazanzibar wana thamani wakati wa uchaguzi tu. wamefanya mauzinduzi yao katikati ya msiba wa wenzao.
 
Vinara wanaoendeleza kampeni ni hawa magamba inaonesha hawana ubinadam,nimefurahi kuahirishwa ili tuomboleze huu msiba wa wote
 
Nasikia mzee wa tabasamu kaahirisha safari ya nje kwa mara ya kwanza pia. Hapo nampa 5 japo bado nitamquestion kwa hilo hilo. Wasi wasi wangu ni kwamba Jk mdini sana. Lukansola hongereni kwa kulitambua hilo.
 
asante sana kwa kuguswa na msiba wa ndugu zetu. that is the tanzania we want bwana! kwa ccm wazanzibar wana thamani wakati wa uchaguzi tu. wamefanya mauzinduzi yao katikati ya msiba wa wenzao.
<br />
<br />

Asante sana jogi, msiba ni wetu wote huu.
 
Nasikia mzee wa tabasamu kaahirisha safari ya nje kwa mara ya kwanza pia. Hapo nampa 5 japo bado nitamquestion kwa hilo hilo. Wasi wasi wangu ni kwamba Jk mdini sana. Lukansola hongereni kwa kulitambua hilo.
<br />
<br />

Asante sana Mungi, kwa kweli isibgekuwa rahis kuendelea na mdahalo katika hali hii, asante na wewe kwa kutambua uzito wa msiba huu.
 
Safi sana..,Ni msiba mkubwa kwa taifa..,na hii itafungua mjadala mpya kikatiba juu ya uwajibikaji wa viongozi wetu pindi wanaposhindwa kufanya majukumu yao ipasavyo..!
 
Back
Top Bottom