Mdahalo wa kuboresha mahusiano ya viongozi na wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa kuboresha mahusiano ya viongozi na wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alagwa, Sep 14, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Leo kunafanyika mchhezo mchafu kama wewe ni muelewa utaelewa kinacho fanyika hapa. Leo kuna mdahalo wa KUBORESHA MAHUSIANO YA VIONGOZI NA WANANCHI( swala ni zuri na lenye maada kubwa sana kwa jamii na maendeleo ya taifa) Watakao shiriki ni mbunge wa mbulu (WA CHADEMA) na madiwani wote na wananchi wa wilaya ya Mbulu. Mgeni rasmi ni mkuu wa wilaya ya mbulu( Huyu ni sisim na ukumbuke kuwa mbunge ni chadema je mgeni rasmi ata simama kama mgeni rasmi au ataende lea na ile kauli ya kisism sisim na kumbukeni mdahalo huu utahudhuriwa na wananchi wote wakiuliza maswali kwa wawakilishi (MBUNGE) ALAFU MKUU WA WILAYA NDIO KUONGOZI WA MDAHALO. Je sifa za mtu kuwa mgeni rasmi katika tukio kama ili ni zipi? Mdahalo utarushwa kupitia REDIO HABARI NJEMA F.M 87.5 kama upo manyara unaweza pata yote yatakayo jiri
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ukishakuwa kamanda ndani ya gwanda hakuna hofu hapo nadhani wa kukimbia huo mdahalo ni huyo gamba sijui mkuu wa wilaya maana wao wanaongozwa na ufisadi huku mbunge akiwa na nguvu ya umma uliomchagua
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  sasa uchafu ndio upi hapo ina maana ccm na chadema hawapaswi kukaa pamoja.ubaguzi mnaanza mapema kabla hata hamjapewa nchi. C ndio mnadai eti tujenge nchi kwa kuondoa tofauti zetu za kidini,kikabila na kipato sasa hili latoka wapi.au mkifika tano mnasahau km mmepitia mbili.
   
 4. Alagwa

  Alagwa Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hata sikumoja huwezi kumwita kiongozi wa chama kuwa mgeni rasmi katika majadiliano ya wananchi na kiongozi wa chama pinzani huoni kama atamkandamiza mwenzake
   
Loading...