Mdahalo wa Igunga 'The Tanzania We Want' kuoneshwa leo Star tv

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,437
1,597
Habari zenu wakuu, ule mdahalo wa wagombea ubunge Igunga utarushwa leo kuanzia saa tatu usiku Star Tv.
Nawasilisha.
 
Nataka nione ile sehemu mgombea wa CDM Kashidye, alipobanwa kuhusu kuchukua pesa.

Alivyokuwa mratibu alikabidhiwa Sh14.000.000 mpaka leo kimya.
Alivyoambiwa ajibu hizo tuhuma za ubadhirifu akawa anag'aa tu sharubu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom