Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Sep 27, 2011 #1 Habari zenu wakuu, ule mdahalo wa wagombea ubunge Igunga utarushwa leo kuanzia saa tatu usiku Star Tv. Nawasilisha.
Habari zenu wakuu, ule mdahalo wa wagombea ubunge Igunga utarushwa leo kuanzia saa tatu usiku Star Tv. Nawasilisha.
Ndechumia JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,103 418 Sep 27, 2011 #3 mkuu unaposema leo unamaanisha jumanne 27 sept?
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Sep 27, 2011 Thread starter #5 Ndechumia said: mkuu unaposema leo unamaanisha jumanne 27 sept? Click to expand... Ndiyo Ndechumia, uko sahihi kabisa.
Ndechumia said: mkuu unaposema leo unamaanisha jumanne 27 sept? Click to expand... Ndiyo Ndechumia, uko sahihi kabisa.
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Sep 1, 2010 1,856 371 Sep 27, 2011 #7 Umesomeka japo kuna uefa champs!
S SEAL Team 6 JF-Expert Member Jun 10, 2011 655 118 Sep 27, 2011 #8 Kwanini hawakuonyesha live hiyo jana????
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,322 Sep 27, 2011 #9 pamoja sana mkuu, asante kwa taarifa.
T Typical Tz Member Sep 13, 2011 45 4 Sep 27, 2011 #11 Asante kwa kutujuza! Naombea tanesco wasichukue umeme wao.
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 46,932 32,341 Sep 27, 2011 #13 Nataka nione ile sehemu mgombea wa CDM Kashidye, alipobanwa kuhusu kuchukua pesa. Alivyokuwa mratibu alikabidhiwa Sh14.000.000 mpaka leo kimya. Alivyoambiwa ajibu hizo tuhuma za ubadhirifu akawa anag'aa tu sharubu.
Nataka nione ile sehemu mgombea wa CDM Kashidye, alipobanwa kuhusu kuchukua pesa. Alivyokuwa mratibu alikabidhiwa Sh14.000.000 mpaka leo kimya. Alivyoambiwa ajibu hizo tuhuma za ubadhirifu akawa anag'aa tu sharubu.
cheze JF-Expert Member Apr 27, 2011 501 330 Sep 27, 2011 #18 Shalom said: Champion League! Click to expand... kweliii