Mdahalo wa Hamad Rashid na Freeman Mbowe Tarehe 20November, 2010

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Taarifa rasmi ni kwamba kutakuwa na mdahalo kati ya aliyekuwa kiongozi wa kambi ya upinzani ktk bunge lililopita, Mh. Hamad Rashid, mbunge wa Wawi, Pemba naKiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Mh. Freeman Mbowe, mbunge wa Hai. Taarifa zaidi zitafuata.
 
...Mdahalo?...juu ya nini?
 
Mi nadhani kama CHADEMA wamejitenga kwa namna fulani hivi. Hawajataka kuwashirikisha wenzao wa vyama vya NCCR,CUF NA UDP hali hii inaweza kudhoofisha upinzani bungeni.
 
Nimekwambia taarifa rasmi, unataka source gani zaidi? Ok, hii ni kwa mujibu wa waandaaji wa Mdahalo huu ambao ni VOXMEDIA na EABMTI
 
Mi nadhani kama CHADEMA wamejitenga kwa namna fulani hivi. Hawajataka kuwashirikisha wenzao wa vyama vya NCCR,CUF NA UDP hali hii inaweza kudhoofisha upinzani bungeni.

haitadhoofisha upinzani hata kidogo,itadhoofisha ccm ambayo inapanga kuweka mamluki kila siku kwenye upinzani.....mrema,lyatonga. Mbatia,James. Mr Mapesa.
ukitia kijiko kimoja cha mchanga kwenye unga wa ugali....utapata mchanga wenye ugali baada ya kupika though unga ulikuwa mwingi kuliko mchanga....mrema ukimchanganya na wapinzani wengine anaweza kufanya wapinzani wote waonekane hawana maana.
 
mbona unakuwa mkali ukiombwa source taarifa yako ni sumu nini ngoja nimtangie Rose Mwakitwange anipe info kamili
 
Mi nadhani kama CHADEMA wamejitenga kwa namna fulani hivi. Hawajataka kuwashirikisha wenzao wa vyama vya NCCR,CUF NA UDP hali hii inaweza kudhoofisha upinzani bungeni.

mkuu,
viongozi wa chadema siyo mabwege bali ni watu na future ya kuliondoa taifa mikononi mwa wala nchi
hivyo siyo rahisi kabisa kujiunga na CUF, maana kwa kufanya hivyo ni kosa kubwa sana
ukizingatia kuwa CUF sasa ni mfuko wa pembeni wa CCM kule bungeni, hawana jipya
kwani wamekizamisha chama mfukoni mwa vibopa wa CCM, believe or not CUF sasa
ni mashushu wa CCM
 
NANI ATAFANYA MDAHALO WAKATI CUF WAMEFUNGA NDOA NA CCM UNATEGEMEA KITU GANI?
CHADEMA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOWASHIKISHA CUF KWENYE KAMBI YA UPIZANI.
:peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace:
 
Back
Top Bottom