ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
Taarifa rasmi ni kwamba kutakuwa na mdahalo kati ya aliyekuwa kiongozi wa kambi ya upinzani ktk bunge lililopita, Mh. Hamad Rashid, mbunge wa Wawi, Pemba naKiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Mh. Freeman Mbowe, mbunge wa Hai. Taarifa zaidi zitafuata.