Mdahalo unaoendelea bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo unaoendelea bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi wa Bwana, Jun 20, 2012.

 1. Mtumishi wa Bwana

  Mtumishi wa Bwana New Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi guys!
  Naufurahia sana mdahalo unaoendelea bungeni hivi sasa ila bado nashangazwa na jambo moja, inakuwaje wabunge wa upinzani wanaongea maneno mazito sana ambayo yanaweza yakasababisha hata mambo ambayo hatutegemei kutokea yakatoea lakini wabunge wa chama tawala huwa wanakuwa wanacheka, mimi sioni kama ina make sense..

  Mana sijui ndo dharau au la, naomba mnisaidie ufafanuzi juu ya jambo hili, mimi binafsi huwa linaniboa sana sana.. Mbungeni amesimama wa upinzani anatoa hoja nzito na za msingi lakini wabunge wa chama tawala wanacheka!!!!!

  Aaaah, tunakoelekea siko kabisa. Naomba mnipe ufafanuzi wana jamii wenzangu mana inawezekana mi nimeshindwa kutafsiri hivo vitendo vinavyofanywa na wabunge wa chama tawala.

  Mwana Jamii,
  Mtumishi wa bwana.
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Serikali hii ni ya CCM, hivyo wabunge wa CCM wanatambua ukweli kuwa ufisadi unaoendeshwa Serikalini ndio huifadhili CCM ndio maana hawachukui hatua kurekebisha kasoro husika. Watanzania bado tuna kazi kubwa ya kuhakikisha ya kuwa Bunge letu linakuwa na sura kamili ya watu wanaoutumikia umma.
   
 3. Mtumishi wa Bwana

  Mtumishi wa Bwana New Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka this is nonsence and I think is the matter of being educated... Mana hiyo inaonyesha kabisa kwamba wabunge wa CCM shule hakuna. Ila Is the Matter of Time ndugu jamaa, tunahitaji mabadiriko.

  Mwana Jamii,
  Mtumishi wa bwana.
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wakumbuke kuwa hata wale wabunge wa nyinyiem ulioshindwa kwa cdm walikuwa wanacheka hivyo hvyo.. ! leo hii wako wapi..?

  HAKI WENGI NYIE MAGAMBA HAMTORUDI DODOMA COME 2015!
   
 5. M

  Mr EWA JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kinachonisikitisha ni baadhi ya wabunge kuendelea kunadi siasa na kutochangia hoja iliyombele yao.
   
Loading...