Mdahalo: The Tanzania we want! Nape na Marando ndani ya nyumba

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Messages
509
Points
250

Ptz

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2011
509 250
Wasalamu wana jf!
Mdahalo mwingine unataraji kufanyika Jumamos hii tar 27, vyama vitatu CCM,CDM na CUF, wazungumzaji wakuu Atakuwepo Mh Mabere Marando, Nape na mmoja Wa Cuf, mwenyekiti atakuwa Rose Mwakitwange.Utarushwa moja kwa moja na Kituo cha star tv.Source; star tv.
 

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Messages
509
Points
250

Ptz

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2011
509 250
saa ngapi?
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Itakuwa saa 1 na 30 jioni hadi saa 3 na dk 20 usiku, Ukumbi ni Wa Kivukoni katika Hotel ya Moven Pick, Mzungumzaji toka CUF ni mh Isimail Jassu mbunge toka mji Mkongwe zanzibar na Zanzibar, na wengine ni kama nilivyowataja yaani Nape toka Magamba na Mh Marando CDM.Hakika utakuwa ni mdahalo wa aina yake kwani hata muda unakidhi.
 

Forum statistics

Threads 1,356,410
Members 518,903
Posts 33,132,058
Top