Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

Nakubaliana na wewe kuwa hawa wenzetu hawana hivyo vyeo ulivyovutaja vya kiserikali au kisiasa. Lakini kuhusu uongozi wa nchi nakuhakikishia kuwa wao ndio wanawaongoza hawa weusi wenzetu wenye hivyo vyeo ulivyovitaja. Sasa kama wanaweza kuwaongoza viongozi kuna haja gani ya wao wenyewe kutafuta nafasi hizo?.
 
Korokoroni Mwarabu au Mhindi, Mwalimu wa shule ya Kata Imbambansela Tabora - Mwarabu au mhindi, Mlinzi wa benki - Mwarabu au mhindi; mkulima wa jembe la mkono ibadakuli-Mwarabu au mhindi, hata JKT wengi walikuwa wanajongomea tunakutana nao vyuo vikuu tu. Sasa Waanzie huko kwanza na sio Jamatin
 
Unajua hata hapa Marekani na kwenye nchi kama Uingereza na nchi nyingine kulikuwa na imani kuwa the majority group ilikuwa inastahili zaidi kutawala. Watu kutoka minority groups walikuwa wako pembezoni. Kwa mfano, kwenye majeshi yao Wamarekani weusi walikuwa wakitumika na kufanya vizuri lakini wasionekane sana kwenye nafasi za juu. Lakini serikali iligundua kuwa haijitendei haki yenyewe kwa kuwa na baadhi ya wananchi wake nje ya sehemu mbalimbali.

Matokeo yake imefanya jitihada sana kurecruit from minority groups. NItawapeni mfano - FBI na CIA pamoja na ujanja wao wote zilikuwa na watu wengi sana ambao ni wazungu weupe na watu weusi lakini baada ya Sept 11 iligundua kuwa inakosa Waarabu ndani yake japo kuna waarabu wengi tu. Matokeo yake miaka michache iiliyopita FBI ilikuja maeneo ya Dearborn Michigan na kwenda kwenye High Schools na vyuo kwa ajili ya kurecruit Arab-Americans kujiunga nayo.

Hivi Polisi wamewahi kwenda kwenye shule ambazo ni predominantly of Asian Tanzanians na kujaribu kurecruit? Jeshini je. Miye nakumbuka enzi zetu kulikuwa na binti wa Kiarabu ambaye alikuwa anapenda sana POlisi na kweli aliweza kujiunga (akitokea Pangani); sijui kama aliendelea humo au vipi. Mwanzoni aliposema tulidhani ni utani kumbe alikuwa serious.

Kama hakuna viongozi maarufu (prominent people) kutoka kwenye hizi minority groups hawa watoto wao wanaona mfano gani wa kuiga? Wanapoangalia TV na sehemu nyingine wanaona ni Watanzania weusi tu ndio wanazo hizo nafasi; well kimsingi tumeamua kuwatengea eneo la biashara na sekta binafsi kuwa ndio eneo lao na siyo public service. Hii siyo Tanzania tuliyoitaka!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Executive.
Said Sadiki - Dar Regional commissioner.
legislature.
Mohamed Dewji.
Judiciary.
Othman chande.
Central Committee/ National Executive Committee of the ruling Party CCM.
zakhia Meghji, Mohamed Dewji, Amaan Karume, Salim Ahmed Salim.

More than 1% (Their population).
 
Executive.
Said Sadiki - Dar Regional commissioner.
legislature.
Mohamed Dewji.
Judiciary.
Othman chande.
Central Committee/ National Executive Committee of the ruling Party CCM.
zakhia Meghji, Mohamed Dewji, Amaan Karume, Salim Ahmed Salim.

More than 1% (Their population).

Una maana ya kwamba minority groups are fully represented in Tanzanian government? kwanini hakuna yeyote kwenye baraza la mawaziri? JWTZ? Police, Prisons, TISS, Benki Kuu, DPP Office? ... tuseme kuwa kwenye level level 1 % iwe allocated kwa ajili ya minority je ni jambo baya au lisilowezekana?
 
Katika mazingira hayo unaiacha mada tu na kuendelea na mada nyingine ambazo umezielewa; nalo si gumu kulifanya.
Leo mkuu umechemka.... Hawa uliowataja ni makatiliz. Hawawapendi watu weusi, fanya jitahadi uone wanavyowatumikisha watanzania wa kawaida viwandani kwao.....

Ningekuwa na uwezo ningefukuza wahindi wote!!! Umewahi kusijia Muhindi anaolewa na Mtu Mweusi??? Lakin mchaga kwa mmakonde ni powaaaaa....

Futa kabisa hii thread
 
Una maana ya kwamba minority groups are fully represented in Tanzanian government? kwanini hakuna yeyote kwenye baraza la mawaziri? JWTZ? Police, Prisons, TISS, Benki Kuu, DPP Office? ... tuseme kuwa kwenye level level 1 % iwe allocated kwa ajili ya minority je ni jambo baya au lisilowezekana?
Nimemaliza chuo na binti wa kihindi, yaaan ni kujiona tu kuwa yuko superior haaaaa..... Hawa ni jamii ya kikoloni MM
 
Una maana ya kwamba minority groups are fully represented in Tanzanian government? kwanini hakuna yeyote kwenye baraza la mawaziri? JWTZ? Police, Prisons, TISS, Benki Kuu, DPP Office? ... tuseme kuwa kwenye level level 1 % iwe allocated kwa ajili ya minority je ni jambo baya au lisilowezekana?
ni jambo linalowezekana, ila allocation is a form of discrimination.
Kwa mfano, jimbo letu la Temeke, tumewahi kuwakilishwa na Julie Manning- European ancestry.
Masoud Ali Masoud- Asian ancestry.
Mchumo na Mtemvu- African/Bantu.
Na wala sidhani kama wazee wetu walikuwa wanafikiria ancestry yao. Let's just live as humans, and do things without thinking about someone's race.
Kuhusu Baraza la Mawaziri, Mkuu wa Mkoa ana nguvu kiserikali kuliko Waziri wa michezo kwa mfano. mawaziri siyo kwamba ni watu poweful sana kikatiba.
Mabalozi wetu nje (Powerful position), wapo wa hulka nyingi tu.
Jeshi na vyombo vya ulinzi ni hiyari ya mtu, nakumbuka in late nineties mkuu wa FFU morogoro alikuwa na asili ya kiarabu.
Perosonally namjua rubani wa helikopta ya polisi ambaye ni mwarabu pia.
kwa kweli, Tanzania hatuna mambo haya ya ubaguzi.
 
kuna topic ilikuwa hapa jana ikilaumu waarabu wa iringa kwa kuwakandamiza watanzania wenzetu ,labda tujue waarabu na wahindi hawapo hapa kwa kushiriki na kutatua matatizo yetu,ndio maana wengi wao wana uraia wa nchi mbili,mkianza kutoana damu hawapo!!wanachotaka ni hela zetu na raslimali kama walivyoiba meno ya tembo miaka ya nyuma wakati baba zetu wamelala

dah mkuu usiwe hivyo. nakuheshimu Tumia akili zaidi.naona ulisha wahi. kusema Kuwa unawachukia weupe waziwazi . lakini mimi nakuomba uwe opened minded
 
Indian PM reaches out to Indian community in Tanzania


26nlook1.jpg


Indian Prime Minister Manmohan Singh on his arrival to Dar Es Salaam in Tanzania addressed the Indian community in which he said that his government is deeply committed to the welfare and prosperity of the Indian community in Tanzania.

"We have created a separate Ministry of Overseas India in Affairs to look after the welfare of the Indian community overseas and to facilitate their participation in the socio-economic growth processes in India," Dr Singh said. Dr Singh further added that the government has taken several initiatives such as establishment of the Overseas Indian Community Welfare Fund and the Overseas Indians Facilitation Centre.

"The Pravasi Bharatiya Diwas has become an effective platform for reaching out to our overseas community. Your achievements are a matter of pride for all Indians. I am confident that each one of you will serve as a bridge of friendship between India and Tanzania," he said.

"One of the cornerstones of our interaction remains our shared culture and traditions. I hope the Indian Cultural Centre in Dar es Salaam, which has opened recently, will provide a platform for children, families and others to preserve and promote our cultural traditions."

"I have just come from Ethiopia after attending the Second Africa India Forum Summit in Addis Ababa, which concluded on Wednesday. I had extensive interactions with African leaders and found a fund of immense goodwill for India."

"The Summit has launched a new era of partnership between India and Africa in the true spirit of South-South cooperation. The decisions we have taken at the Summit cover the areas of training and capacity building, infrastructure development and trade and investment."

"The fact that Indians and Indian origin communities like you are living and working in various parts of Africa and helping to create wealth and prosperity is extremely impressive and commendable. It shows how well Indian communities have assimilated into local communities in this continent and how much their contributions are respected. I would urge you to be good Tanzanian citizens, and continue to spread the high values which India is known for."

The prime minister would meet with President Kikwete and other leaders of Tanzania on Friday, which will be followed by the signing of the bilateral cooperation agreements.

PM reaches out to Indian community in Tanzania - Rediff.com India News
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
ni jambo linalowezekana, ila allocation is a form of discrimination.
.........
kwa kweli, Tanzania hatuna mambo haya ya ubaguzi.

Mwanakijiji yeye anaangalia nafasi za uongozi kwa rangi, na Mohammed Said na genge lake wanaangalia kwa dini

Sioni tofauti
 
Nimejiuliza maswali mengi sana kutokana na hoja iliyopo mezani,hawa wahindi na waarabu katika ubinafsishaji ndio wengi wao waliuziwa mashirika na viwanda mbalimbali ambavyo vingine vimekufa na vingine vimebadilishwa matumizi yake.pia hoja ya pili ni kuwa hawa jamaa tupo nao tu ila wanauraia zaidi ya nchi moja,ndio maana wahindi wengi wanaishi kwenye nyumba za NHC.

Pia jamani mlishawahi kujiuliza kuhusu waarabu ambao walishawahi kututawala enzi ya ukoloni,watu wetu wengi walisafirishwa katika soko la utumwa kupekwa nchi mbalimbali na wengine uarabuni,sehemu za ulaya na bara la amerika weusi ni wengi,je hawa watu weusi waliopelekwa nchi za kiarabu waliishia wapi?jiulizeni jamani!!


pia katika maeneo mengi ambayo wapo ndugu zetu waarabu uchumi huwa unadumaa sana mfano maeneo ya Tanga,wengi ya wenye hela ni waarabu ila ni wakandamizi kwenye ajira,kwa maana ya kuwa wanawalipa wafanyakazi wao mshahara kidogo,pia hawatoi fursa za kimaendeleo tanga haibadiliki miaka nenda miaka rudi.

Pia wahindi ajira zao ni za uonevu,maslahi kiduchu,mishahara ya upendeleo kwa maana mnaweza kuwa unafanya kazi position moja na mhindi mishahara ikawa tofauti.

umewahi kwenda arabuni? nimetembea nchi tatu saudia UAE NA YEMEN.kuna weusi wengi huko hasahasa maeneo huko jidah.timu zao Za mpira zina weusi wengi kulikohata waarabu.Oman only 30percent ni waarabu pure wengine wore machotara wa kiafrika NA wahindi. akili yako ilivyokuwa ndogo unawaza waarabu wakika sehemu hiyo basi mji huendelei.waarabu wengi walk dar,je hakuendelei?.Dubai hakuendelei? acha kufikiri kamatsy MTOTO
 
Leo mkuu umechemka.... Hawa uliowataja ni makatiliz. Hawawapendi watu weusi, fanya jitahadi uone wanavyowatumikisha watanzania wa kawaida viwandani kwao.....

Ningekuwa na uwezo ningefukuza wahindi wote!!! Umewahi kusijia Muhindi anaolewa na Mtu Mweusi??? Lakin mchaga kwa mmakonde ni powaaaaa....

Futa kabisa hii thread

Kinje unamjuwa?
 
769px-Bundesarchiv_Bild_105-DOA0390%2C_Deutsch-Ostafrika%2CIndische_Kaufmannsfamilie.jpg


Suala la Wahindi kutojihusiha kwenye public sector liko rooted zaidi to the British Colonial Empire. Indaiwa kuwa baada ya abolition of slave trade, mnamo mwaka 1836 Waingereza walianza kuwatumia "licensed agents" kwenye makoloni yao Afrika Mashariki (British East Africa). Hawa walikuwa imported to replace watumwa. Tofauti na watumwa, "licensed agents" walikuwa wanalipwa minimal wages or some small form of payout kama shamba au pesa for their return passage to India baada kumaliza kazi iliyowaleta.

Tofauti na walivyokuwa kwa watumwa, waajiri wa Kiingereza walikuwa hawana haki ya kuwanunua au kuwauza hawa "licensed agents". Nafikiri ile dhana ya kuwa Wahindi huwa "wanawadharau" Waafrika ilianzia hapa. Tofauti na Waafrika, wao walikuwa hawanunuliwi au kuuzwa kama bidhaa. Pia walikuwa wanalipwa japokuwa ilikuwa ni kidogo.

Baada ya kumaliza kazi zao, wengi wao walirudi kwao India. Wanadai the original 32,000 walirudi. Lakini pia wapo wachache waliobakia (kama 6,700 hivi) na kuendelea kufanya kazi kama dukawallas, artisans, traders, clerks, and, finally, lower-level administrators. Dukawalla maana yake ni "duka" -> duka kwa Kiswahili na "Walla" kwa Kihindi ni mtu aliye in charge of something. Pichani hapo juu ni mfano wa Dukawalla Bagamoyo mwaka 1906. Siku hizi dukawallas wa Tanzania wamekuwa Wachina (viva! east africa: Chinese in Africa: the new dukawallas?)

Ikumbukwe pia kwamba kabla ya hawa dukawallas, wafanyabiashara wa Kihindi walikuja Afrika Mashariki kwa kufuata routes za kibiashara za Waarabu ndani mwa kando ya Bahari ya Hindi. Indians had a virtual lock on Zanzibar's lucrative trade in the 19th century, wakifanya kazi kama exclusive agents wa Sultani.

Muhimu hapa ni kwamba utawala wa kikoloni uliwa-exclude Wahindi kufanya kazi kwenye middle and senior ranks of the colonial government and from farming. Matokeo yake wakaishia kuwa wafanyabiashara na professionals kama madaktari na wanasheria.

Kutokana na hii exclusion, Wahindi walijijengea mazingira ya kutokupenda kufanya kazi in the public sector na shughuli za kilimo na kuishia kuwa wafanyabiashara. Baada ya uhuru wa nchi za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda), kulikuwa na settled Indians 3,60,000. Matabaka yaliyotengenezwa na kuachwa na wakoloni yaliendelea hata baada ya uhuru wa hizi nchi ambapo Wahindi waliendelea kujikita zaidi kwenye biashara zao na Waafrika kuchukua nafasi zilizoachwa na wakoloni.

Kwa hiyo, hata serikali ikianzisha specific policy ya ku-encourage Wahindi wafanye kazi kwenye public sector, sidhani kama itafanikiwa. Wamekuwa excluded from the public sector kwa muda mrefu sana na sasa wanaamini biashara ndio sekta yao. Sidhani kama wanabaguliwa. They simply don't want to get involved. Na hata wale Wahindi au Waarabu ambao wameingia kwenye siasa, wengi wao inadaiwa wamefanya hivyo ili kurahisisha channels zao za kibiashara.

Kuna article moja inaelezea kwa undani zaidi juu ya suala la Wahindi Afrika Mashariki: Dharam P. Ghai and Yash P. Ghai, "Asians in East Africa: Problems and Prospects", Journal of Modern African Studies, (1965)3 pp. 35-51

No questions from Gaijin please :)
 
Una maana ya kwamba minority groups are fully represented in Tanzanian government? kwanini hakuna yeyote kwenye baraza la mawaziri? JWTZ? Police, Prisons, TISS, Benki Kuu, DPP Office? ... tuseme kuwa kwenye level level 1 % iwe allocated kwa ajili ya minority je ni jambo baya au lisilowezekana?

Kwahiyo tuintroduce "Quota system" kwenye hizo nafasi? baada ya hapo tutaanza kujiuliza dini gani wapo wangapi na dini ipi haijawa represented? thereafter tunaanza kuangalia wamakonde wako wangapi, wadengereko , wasukuma wahaya wachaga wanya.....ah si nitakesha kuwataja hapa.. sidhani kama tunahitaji kwenye huko kwakuwa jamii zetu zina segments nyingi mno kwani hata kwetu uchagani kwa nje mnatuona wachaga mathalan somebody massawe lakini sisi wenyewe tutajiuliza je ni wamachamme? Mbona sio wa uru?? Mbona sio mkibosho?? ah huyu si ni warombo?? Kazi ya mramba hiyo kupendelea warombo... aahh huyu sio mwenzetu anatoka vunjo huyu... kule kishumundu wanatuita waanjo.... Upo mkuu??

 
Hii topic mwanakijiji haina mashiko,ni hoja mfu.
Jibu la hoja yako ni fupi tu,hawataki kuwepo katika hizo nafasi ulizozitaja.
Hao minority ambao ni 1% ya population ya Tanzania ndo wanaomiliki 90% ya uchumi wa Tanzania.
Sasa unategemea kwa factor hiyo wana muda wa kuja kupoteza sijui awe jaji,ili hali tender zote mlishawakabidhi,we vipi bana yaani unauliza kitu kilicho wazi kabisa.
 
qualifications n wilngness z wat matters kama hawajitokez wala kuonesha nia tukawabebe kwa nguvu... infact wao ndo wanajibagua from blacks
 
Back
Top Bottom