Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

MM utataka wa-tz wenye asili ya KIHINDI/KIARABU WANGAPI ILI URIDHIKE ROHONI. Lakini OFFICIALLY Tanzania hatuna SIASA YA UBAGUZI wa RANGI, of course Watanzania wenye asili ya Kiarabu na Kihindi hawajakatazwa kugombea nafasi za UBUNGE ama na URAISI (Rostam Aziz je si yupo? Kiongozi wa CUF - Seif je? toka Z'bar tuna chotara wa kihindi/kiarabu kibao ambao ni/ama wamekua WABUNGE/MAWAZIRI. Walipita ndio wengi kabisa).

KURA ndio zinaamua na kujishirikisha kwao kwenye chaguzi ndio kutaamua matokeo ya kuwa na Wahindi ama Waarabu wangapi ktk SIASA. Hata hivyo WILAYANI kwetu VIWANDA vyote kama si CHA MHINDI basi ni MWARABU - unaona mambo yanavyo jibalance

MAHAKIMU Mahakama ya Mwanzo ambaye ana asili ya KIHINDI/KIARABU wakajitokeza kua wengi basi haitapita muda mrefu tutakua na JAJI MKUU wa asili hiyo.
 
Ni kigumu hivyo.

Kama unataka tukae tujadili kundi la watu fulani, basi ni lazima tuanze kwa kuwajua hao watu tunaowajadili wana sifa gani?
Kwa kuongezea, Mf: Mi nimezaliwa na kukulia India na wazazi wote weusi, nikaja Tanzania na kupata uraia..'Je na mimi nitaitwa Mtanzania Mhindi?'
 
Nauliza tena Mtanzania Muarabu na Mtanzania Mhindi ni nani?

Ahsante
Nadhani ni Watanzania wenye asili ya India au nchi za kiarabu. Kama wazazi wake wametokea huko basi naweza kusema ana asili ya huko. Mara nyingi utamjua kwa muonekano na lafudhi yake, lakini kwa uhakika zaidi mpaka ufahamu biography yake. Salmin Ahmed Samulim, kwa mfano, sijui wazazi wake wametokea wapi. Na kwa Zanzibar kwa ujumla hili swala ni murkier kwa sababu wengi wana asili hiyo lakini la muhimu zaidi wengi wamejichanganya kwenye kila nyanja ya jamii. Nadhani tatizo ni huku bara, ndio huwaoni kwenye nyanja nyingi za jamii.

Ni kwa experience na mtazamo wangu.
 
wao wenyewe wanatubagua, ma binti zao hawataki kuolewa na ngozi nyeusi hasa wa indi ndo usiseme. Utakuta binti atakuta binti yupo tayari kuolewa hila wazazi hawataki kabisa, wannasema eti " watachafua mbegu".

haya mambo mengine ni sifa za mtu tu, wapo kina profesa shivdi UDSM na wengine wengi wapo serekalini. Wakijitokeza kugombea katika nafasi mbalimbali mimi naamini watachaguliwa, au wanaweza kuteuliwa kutokana na jinsi wanavyo jituma. chakusikitisha zaidi wao wenyewe wanatutenge na kuunda kundi lao la watu wa Asia.

OK, inaruhusiwa kuoa lakini nani alikuambia utapata kuoa bibie wa asili hiyo kirahisi rahisi - lazima ufight.

Kama una binti, naamini hutapenda akuletee mchumba yeyote tu - japo hutakua na namna kuzuia akisisitiza. Kama uha heart-beat motomoto kwa binti yako, lazima una ndoto BINTI yako apate MCHUMBA anayefaa - na anayefaa ni yule unayemjua ama unauhakika naye. Sidhani kama watu wa UHINDINI wana uhakika na watu wa MANZESE hata kama UNGETOKA mweupe wa kutoka PERU.
 
Nadhani ni Watanzania wenye asili ya India au nchi za kiarabu. Kama wazazi wake wametokea huko basi naweza kusema ana asili ya huko. Mara nyingi utamjua kwa muonekano na lafudhi yake, lakini kwa uhakika zaidi mpaka ufahamu biography yake. Salmin Ahmed Samulim, kwa mfano, sijui wazazi wake wametokea wapi. Na kwa Zanzibar kwa ujumla hili swala ni murkier kwa sababu wengi wana asili hiyo lakini la muhimu zaidi wengi wamejichanganya kwenye kila nyanja ya jamii. Nadhani tatizo ni huku bara, ndio huwaoni kwenye nyanja nyingi za jamii.

Ni kwa experience na mtazamo wangu.

Na ataendelea kuwa Mtanzania Mhindi au Mtanzania Muarabu hadi kizazi cha ngapi?

Na tunaangalia upande wa baba tu au na upande wa mama pia?

Mwanakijiji amezungumzia rangi, kuwa hawa utawajua kwa vile si weusi. Jee hao Watanzania Wahindi na Watanzania Waarabu wataendelea kutambulika hivyo, hadi rangi zao ziwe nyeusi au kuna utambuzi mwengine?

* Kama hadi kujua biography ya mtu ili tuwe na hakika, basi hatujui kama viongozi waliopo madarakani sasa ni Watanzania Wahindi au Watanzania Waarabu
 
Tupe mfano hai mmoja tu na chombo cha habari kipi na tukio lipi lilimhusu mtu mweusi huko "India" au "uarabuni". Halfu hiyo Uarabuni ndio wapi? maana hata Igunga kua Uarabuni, hata Bujumbura kuna Uarabuni.

Kuwa muwazi kidogo na uende shule ukasome tena kuuelewa Uarabu ni nini na Uhindi ni nini na Utanzania ni nini.

Inaonesha wewe na mleta mada hamjui somo la Uraia.

Hongera wewe unayeufahamu uraia kwakuwa damu yako imechanganyika na uarabu na hongera pia kwa kuutukuza Utanzania mnaoukana huku mkitaka kuwa huru ndani ya muungano.... Nilomjibu ameelewa wewe kama una kichwa cha panzi is up to u.
 
Na ataendelea kuwa Mtanzania Mhindi au Mtanzania Muarabu hadi kizazi cha ngapi?

Na tunaangalia upande wa baba tu au na upande wa mama pia?

Mwanakijiji amezungumzia rangi, kuwa hawa utawajua kwa vile si weusi. Jee hao Watanzania Wahindi na Watanzania Waarabu wataendelea kutambulika hivyo, hadi rangi zao ziwe nyeusi?
Kama wazazi wako wanatokea India na Uarabuni basi unaangukia kundi hilo, hivyo ni rahisi hapo kujua kizazi hicho cha Uhindi na Uarabu kitakoma lini: siku watakapozalishana hadi wazazi wako wawe wazawa wa Tanzania.

Kuhusu baba au mama, nilipoongelea "wazazi" sikutofautisha wala kutenganisha baba na mama. Wazazi.

Sasa alichosema mwnkjj kuhusu rangi ya uweusi kwa kweli siwezi kumsemea, ila nadhani uzawa wa wazazi ina resolve hilo la rangi. Again, kama wazazi wako wametokea India na Uarabuni basi wewe ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi na Kiarabu, kama wewe ni raia wa TZ.
 
Na mimi nafahamu wengi sana ambao mama ni muhindi baba ni mbantu. Mmoja wapo ni maarufu sana, kwa jina Kinje Kingunge Ngombale Mwiru. Na pia nawafahamu wengi zaidi ambao ni wa asili za Oman, Yemen lakini mama au baba zao ni wabantu au wamasai au wanyamwezi au wanyalukolo.

Wapo na si odd ni very common Tanzania. Said Arfi? Zakia Meghji? Shamim Khan? Zahra Nuru? Dokta Slaa?

Umemsahau Baru baru aka R...
 
Kama wazazi wako wanatokea India na Uarabuni basi unaangukia kundi hilo, hivyo ni rahisi hapo kujua kizazi hicho cha Uhindi na Uarabu kitakoma lini: siku watakapozalishana hadi wazazi wako wawe wametokea Tanzania.

Kuhusu baba au mama, nilipoongelea "wazazi" sikutofautisha wala kutenganisha baba na mama. Wazazi.

Sasa alichosema mwnkjj kuhusu rangi ya uweusi kwa kweli siwezi kumsemea, ila nadhani uzawa wa wazazi ni definition bora zaidi. Again, kama wazazi wako wametokea India na Uarabuni basi wewe ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi na Kiarabu, kama wewe ni raia wa TZ.

Hii "wazazi wanatokea India au Uarabuni" ina maanisha kuwa direct wazazi ndio waliokuja Tanzania.

Kwa maana hiyo, ikiwa ni miaka 50 baada ya uhuru, kuna watu wangapi ambao wanaweza kuhesabika kuwa ni Watanzania Waarabu na Watanzania Wahindi kiasi cha kuwa tushangae kuwa hawapo kwenye nafasi za juu za uongozi? Na tutawajuaje kwa kuwaona tu?

Kama hatuwezi kuwajua kwa kuwaona tu basi hii mada ni muflis kabisa
 
Sasa unataka kunipangia cha kufanya?

Nauliza tena Mtanzania Muarabu na Mtanzania Mhindi ni nani?

Ahsante

C'mon Gaijin!!! Umepatwa na nini? Mbona we ni smart sana!... sasa jambo rahisi tu kama hili unaanza ku-argue hivyo (kwa namna hiyo)!!!???

I just can't believe it!! Can't believe!!
 
C'mon Gaijin!!! Umepatwa na nini? Mbona we ni smart sana!... sasa jambo rahisi tu kama hili unaanza ku-argue hivyo (kwa namna hiyo)!!!???

I just can't believe it!! Can't believe!!

Kwa namna ipi?

Mie nimeomba definition tu ya Mtanzania Muarabu na Mtanzania Mhindi na hadi sasa hapa tulipofika nimepata kutoka kwa mtu mmoja tu - Anheusier. Na hiyo definition aliyoitoa sina hata uhakika kama ndio definition inayotumiwa na watu wote humu ndani

Kwani kuna tatizo kwenye kutaka kueleweshwa?
 
Hii "wazazi wanatokea India au Uarabuni" ina maanisha kuwa direct wazazi ndio waliokuja Tanzania.

Kwa maana hiyo, ikiwa ni miaka 50 baada ya uhuru, kuna watu wangapi ambao wanaweza kuhesabika kuwa ni Watanzania Waarabu na Watanzania Wahindi kiasi cha kuwa tushangae kuwa hawapo kwenye nafasi za juu za uongozi? Na tutawajuaje kwa kuwaona tu?

Kama hatuwezi kuwajua kwa kuwaona tu basi hii mada ni muflis kabisa
Ndio, kama wazazi wako wametokea India, (sijali kama ni "direct" au walisimama Dubai) kama wametokea India basi wewe ni Mtanzania Mhindi, kama tulikupa privilege ya Uraia.

Uwepo miaka 50 baada ya uhuru au la haijalishi. Na mara nyingi utawajua kwa sura za kihindi, ama lafudhi, lakini pia kwa kujitenga kwao. Kama unaonekana mhindi mhindi, unaongea kwa lafudhi ya kiswahili kibovu cha kihindi, unaishi magorofani Upanga, una duka mjini umeajiri 'watumwa' kwa kiswahili, wewe ni Mhindi!

Kwa experince yangu hawa wametunyanyasa sana na kutuona sisi kinyesi. Sasa tunapowasaka hatuwezi kuwachunguza mmoja mmoja kwa biography zao, japo ndio njia ya uhakika na haki zaidi. Lakini wahindi kama kundi hawatupi haki, wamejitenga na kutu denigrate.

Mtoto wako akiumwa na nyoka na ukatoka na mawe kutafuta nyoka aliyeuma mtoto basi nyoka utakaekutana nae hutamfungua mdomo kuangalia kama meno yake yana tell tale signs za kutoka kuuma mtu hivi karibuni, bali nyoka wa kwanza utakaekutana nae njiani he is guilty!

Wahindi as a group ni racialists, segregationists and exploiters, utawajua tu.
 
Mi nazani kama mtu ni mhindi-ni bora aende kwao india akatumikie jamii yake,kama ni muarabu afwate njia hio hio-hawa watu hawajichanganyi sana na indigenous maana hata wengi wao kuwakuta kwenye shule na sehemu nyingine ni vigumu,asilimia kubwa wamezaliwa hapa tz ila hata kiswahili hawajui.
Mi nashangaa hata wale wananchi waliowachagua hawa watu kuwawakilisha
 
Na Nyerere tumuite Mtanzania Mtutsi?
 
Mwanajamii nadhani umeshajicommit kuwa majority-black ndo wanachukua nafasi za juu "Africa for Africans"(kwame nkrumah) hii ina kwenda mbali kuwa weusi ndio wana tambulisha uafrica so hao waarabu,wahindi, wazungu wachina na wengine...... kauli hapo kwenye quote inawasuta ndio maana wako kwenyechannel za biashara na wengi wao wanauraia wa nchi mbili mbali na hapo hakuna sheria inayowazuia kushika hizo nyazifa zaidi ni weziiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Mi nazani kama mtu ni mhindi-ni bora aende kwao india akatumikie jamii yake,kama ni muarabu afwate njia hio hio-hawa watu hawajichanganyi sana na indigenous maana hata wengi wao kuwakuta kwenye shule na sehemu nyingine ni vigumu,asilimia kubwa wamezaliwa hapa tz ila hata kiswahili hawajui.
Mi nashangaa hata wale wananchi waliowachagua hawa watu kuwawakilisha

Mada hapa sio Mhindi au Mwarabu, soma vizuri.
 
Na mara nyingi utawajua kwa sura za kihindi, ama lafudhi, lakini pia kwa kujitenga kwao. Kama unaonekana mhindi mhindi, unaongea kwa lafudhi ya kiswahili kibovu cha kihindi, unaishi magorofani Upanga, una duka mjini umeajiri 'watumwa' kwa kiswahili, wewe ni Mhindi!

Hapa lishaondoka suala la haki. Ni kuendeshwa na hisia tu kulikobaki. Mtu anaweza kuwa ni generation ya tano kuzaliwa Tanzania lakini bado akaendelea kuwa na sifa hizo.

.............Sasa tunapowasaka hatuwezi kuwachunguza mmoja mmoja kwa biography zao, japo ndio njia ya uhakika na haki zaidi. Lakini wahindi kama kundi hawatupi haki, wamejitenga na kutu denigrate.

Hata huyo anaetambulika kuwa ni Mtanzania Mhindi kwa definition yako ana haki sawa na Mtanzania Mtanzania seuze mumfikiriaye tu kuwa ni Mtanzania Mhindi!

Muwasake kwa uhalifu gani waliofanya au ndio tunataka wahukumiwe kwa dhambi walizofanya wengine?

Mtoto wako akiumwa na nyoka na ukatoka na mawe kutafuta nyoka aliyeuma mtoto basi nyoka utakaekutana nae hutamfungua mdomo kuangalia kama meno yake yana tell tale signs za kutoka kuuma mtu hivi karibuni, bali nyoka wa kwanza utakaekutana nae njiani he is guilty!

Hizi ndio siasa za Hitler kwa Wayahudi. Hakuna zaidi ya kuutafutia ubaguzi na udhalimu visingizio tu.
 
Back
Top Bottom