MDAHALO SHIRIKISHI: Ushindi wa Joshua Nassari Arumeru Mashariki Umeletwa na Wana CCM

mtu wa kuuliza kuhusu utafiti wa kisayansi ni Bw Bana aliyekuwa ametoa utafiti wa REdet Arumeru
 
MM nilikua nakaribia kuanza post hapa kuwaomba wanaJF kwamba tuache kumshambulia bwana Lusinde, badala ya kumshambulia kwa maneno makali makali tunahitaji kumpongeza na pengine kujenga ushawishi ili awe MKURUGENZI WA CAMPAIGN WA CCM KWA 2015.

Baada ya kutafakari niligundua kwamba Lusinde alifanya kazi kubwa sana katika ushindi wa nassari kuliko mwanaCDM yeyote, kuliko hata ile timu ya campaign ya CDM

Ni kweli MM ushindi huu mnono na mtamu umeletwa na CCM!
Kwa unataka kuueleza Umma kuwa sera za CCM ni nzuri kuliko za chadema ila tu CCM imeangushwa na Watu kama kina Lusinde na wangineo ambao ccm katika mkakati wake wa kufanya mabadiliko ndani ya chama ikiwaondoa na kukirudisha chama mikononi mwa wakulima na wafanyakazi Chadema mtakuwa hamna lenu tena
 
CCM haikuchangia ushindi wa CHADEMA, kama ndivyo basi tutasema watu wa Meru ni wajinga na ukombozi wa kweli haujapatikana, kwanini migogoro ya CCM ndio iwebadilishe mioyo na si sera nzuri za CDM na elimu ya uraia waliyotoa? Ina maana wanafanya maamuzi kwa kufuata upepo wa CCM unaelekea wapi? Sidhani
 
Kwa unataka kuueleza Umma kuwa sera za CCM ni nzuri kuliko za chadema ila tu CCM imeangushwa na Watu kama kina Lusinde na wangineo ambao ccm katika mkakati wake wa kufanya mabadiliko ndani ya chama ikiwaondoa na kukirudisha chama mikononi mwa wakulima na wafanyakazi Chadema mtakuwa hamna lenu tena

Hata kama wakija watu wapya wote kwenye chama, makovu wanayotuachia CCM hayatofutika, kwanza everything associated with CCM ni kama kujichafua, uovu wote umekuwa branded CCM na ni trademark yao.
 
Kwanza napenda kutoa pole kwa wana CCM wenzangu kwa kupoteza jimbo letu la Arumeru Mashariki na pia Nakipongeza Chadema kwa ushindi mwembamba walioupata katika jimbo la Arumeru na pia na mpongeza J. Nasari kwa kupewa ridhaa na Wana Arumeru kuwa Mbunge wao ila namatahadharisha 2015 sio mbali kwana CCM tunakwenda kurudisha jimbo letu tulilolipoteza siku ya tarehe 1/04/2012.

Kwa wana CCM wenzangu tunatakiwa kutambua sasa kuwa kila kizazi kinahitaji mapinduzi yake mapya hivyo basi tujipange kuanzisha vuguvugu la mapinduzi mapya kwa kizazi cha sasa ili tuweze kujiamarisha na kuendelea kukubalika kwa wananchi wote wa Tanzania. Kila mapinduzi yana gharama yake tusiogope kufanya maumuzi magumu kwa manufaa ya kizazi kipya cha watanzania na kwa manufaa ya chama.

Wahenga walishasema "Only the wisest and stupidest of men never change." and "Change is the law of life and those who look only to the past or present are certain to miss the future." Wana CCM wenzangu ni muda muafaka wa kubadilika na kuleta mapinduzi mapya katika chama chetu kwa manufaa ya watanzania na wapumbafu wachache wasiokuwa na busara wanatakiwa kutoswa baharini, I mean kuvuliwa uwanachama na kuchukuliwa hatua stahiki.

Naipenda sana CCM yangu cjaona mbadala zaidi yako ila naona wanafiki na wazandiki ndani ya ccm wanaokusaliti na kuwapa nguvu genge la wahuni linatumia vibaya sauti ya Watu hasa vijana kujipatia nguvu, madaraka na matumaini ya kuitawala Tanzania. Sasa muda umefika wa kufanya Mapinduzi mapya kwa kizazi kipya kupitia CCM Mpya

The future of our country belongs to CCM new generation and revulution tuungane pamoja kujenga Taifa letu kupitia CCM mpya
 
Kwa wale wapiga kura wa vijijini ambako CCM huwa ina guarantee ya kupata kura za kutosha walikuja kugundua kuwa Mwalimu Nyerere ni marehemu (RIP) pale Mkapa alivyom-beep- Vincent Nyerere na Vicent akampigia live.
 
well said mkuu, its high time ccm read the signs of the times, otherwise they are walking corpses!!
 
Mkuu Mwanakijiji kwa mtu yeyote aliyekuwepo Meru,2010 anatambua kwamba Nasari alishinda na kama kawaida ya CCM wakachakachua kwa kutumia wasimamizi wa uchaguzi na vyombo vya dola. Hata juzi walikua wamejipanga kurudia uhuni wao,wameshindwa kutokana na wananchi kukataa kuchakachuliwa kura zao mara ya pili.
 
Kwanza napenda kutoa pole kwa wana CCM wenzangu kwa kupoteza jimbo letu la Arumeru Mashariki na pia Nakipongeza Chadema kwa ushindi mwembamba walioupata katika jimbo la Arumeru na pia na mpongeza J. Nasari kwa kupewa ridhaa na Wana Arumeru kuwa Mbunge wao ila namatahadharisha 2015 sio mbali kwana CCM tunakwenda kurudisha jimbo letu tulilolipoteza siku ya tarehe 1/04/2012.

Kwa wana CCM wenzangu tunatakiwa kutambua sasa kuwa kila kizazi kinahitaji mapinduzi yake mapya hivyo basi tujipange kuanzisha vuguvugu la mapinduzi mapya kwa kizazi cha sasa ili tuweze kujiamarisha na kuendelea kukubalika kwa wananchi wote wa Tanzania. Kila mapinduzi yana gharama yake tusiogope kufanya maumuzi magumu kwa manufaa ya kizazi kipya cha watanzania na kwa manufaa ya chama.

Wahenga walishasema "Only the wisest and stupidest of men never change." and "Change is the law of life and those who look only to the past or present are certain to miss the future." Wana CCM wenzangu ni muda muafaka wa kubadilika na kuleta mapinduzi mapya katika chama chetu kwa manufaa ya watanzania na wapumbafu wachache wasiokuwa na busara wanatakiwa kutoswa baharini, I mean kuvuliwa uwanachama na kuchukuliwa hatua stahiki.

Naipenda sana CCM yangu cjaona mbadala zaidi yako ila naona wanafiki na wazandiki ndani ya ccm wanaokusaliti na kuwapa nguvu genge la wahuni linatumia vibaya sauti ya Watu hasa vijana kujipatia nguvu, madaraka na matumaini ya kuitawala Tanzania. Sasa muda umefika wa kufanya Mapinduzi mapya kwa kizazi kipya kupitia CCM Mpya

The future of our country belongs to CCM new generation and revulution tuungane pamoja kujenga Taifa letu kupitia CCM mpya
mkuu wangu Mr emmy. Sijui unao uelewa kiasi gani ktk mambo ya siasa! Future ya Tanzania inawahusu Watanzania wote wazalendo bila kujali chama,dini,kabila wala rangi! Kama wewe utakua ni mmoja wa makada wa kutegemewa ktk chama chako basi naanza kuelewa kwanini chama chenu kimeshuka hadhi kwa kiwango cha chini kiasi hiki!
 
Sio kweli, ushindi wa chadema umeletwa na wana arumeru mashariki wote! Bila ya kujali itikadi za vyama, umeletwa na wote wapenda maendeleo na ambao wamechoka na porojo za ccm.
 
Mkuu MMJ,

Ushindi wa CHADEMA Unatokana na smart play waliyoifanya team ya kampeni za CHADEMA.Aidha strictnes yao katika kunadi sera imewasaidia.Madhaifu ya CCM yapo,yalikuwepo hata katika sehemu nyingine walizoshinda.Kilichosaidia Arumeru ni wananchi kukataa kuchakachuliwa.Lakini pia,Kama vile business yoyote ilivyo na lifecycle,CCM sasahivi iko katika death stage.LAITI KAMA CCM Ingewatimua wale wenye tuhuma za ufisadi mapema Aprili 2011,Sasahivi CCM Ingekuwa untouchable.Lakini wamechelewa.

NOTE: Sio wapiga kura wote wana attachment na vyama,kwa hiyo kuna independent voters wengi ndo walisababisha CDM kushinda 2012 na CCM kushinda 2010
 
Mkuu Kwa Kifupi Ushindi wa Nasari Haujaletwa na CCM wala CDM bali ni WANA ARUMERU WENYEWE Ambao kwa Pamoja wameamua kuiambia CCM kwamba "You can fool some people some times but you can't fool the people all the time"[/QUOTE said:
Ni kweli watu wamechoka ubabaishaji wa serikali hii ya CCM na wamechoka kudanganywa kila siku wakati hakuna lolote linalofanywa zaidi ya viongozi kujitajirisha.
 
Nawashukuru sana watu wa Arumeru kwa maamuzi yao ya busara maana walikuwa wanadaganywa na viongozi wa ccm wamewadhihirishia kuwa watanzania kwa sasa wameamuka na hawana muda wa kulala,kwa hali hii ccm lazima wabadili mbinu za kurithishana madaraka la sivyo wanayo majibu ya 2015
 
watu kama emmy wapo maana hawaono mabadiliko ya kimbunga yanayotokea katika karne ya sasa.Vijana hawajadanganywa na mtu na wala hakuna mhuni zaidi ya baadhi ya viongozi wa ccm wanaottumia kampeni chafu na za uongo ili kupata madaraka kwa nguvu.Kama bado aunafikiri kuna watu wahuni wanawarubuni vijana basi nawe mmojawapo.Achana na fikra mgando angalia mbele kwa kusoma alama za nyakati.
 
ccm hoiiiiiiiiii!2015 hatudanganyiki!!!sio Arumeru pekee wanaoshangilia ushindi wa Dogo Janja bali ni watzd wote tunafuraha sana.kama huamini pita kila mtaa na kitongoji kilichopata taarifa ya Arumeru kinafurahi
 
Ushindi wa CDM Arumeru ni ishara nzuri na mwanzo wa mabadiliko ...ni indicator kwamba watawaliwa wameuchoka utawala ulioshindwa kusimamia sera zake wenyewe achilia mbali ahadi zisizotekeleka!...
 
nakubaliana na ww kbs kuwa ushindi wa nassari ni matokeo ya makundi ndani ya ccm. Wanaobeza acha wabeze lkn ukweli ndio huo.

sikubaliana na hili na kwa hii kauli ndo ccm inazidi kufa kabisaa,
sijui mmelogwa hamuoni ukweli!?
 
hilo ni kweli kabisa kwani huwezi kulazimishwa kumkubali mtu msiyemjua ni ngumu sana kama msipo iba ndicho kilichotokea alumelu..
kujua kuwa waliompigia Nasari ni wana CCM NI LAZIMA UWE NA USHAHIDI WA KUTOSHA . HIVI UNA MAANA TURNOUT YA 2010 ILIKUWA 100% HOW ABOUT WALE AMBAO HAWAKWENDA KUPIGA KURA KWA SABABU YOYOTE ILE NA SAFARI HII WAMESHIRKI. HALAFU WALE AMBAO WALISHIRIKI 2010 NA SAFARI HII HAWAKUSHIRIKI? SO YOU MUST ACCUMULATE AMPLE EVIDENCE AND ANALSYED IT TO HAVE A JUSTIFIABLE CONCLUSION OTHERWISE NI LAZIMA UWE NA SUPERNATURAL POWERS KUJUA HILO UPO HAPO
 
Kwamba, bila wana CCM Joshua Nassari asingeweza kushinda kiasi kikubwa hivyo; CCM imepata kura pungufu karibu 7000 kulinganisha na 2010 wakati CDM imepata karibu 6000 zaidi kulinganisha na 2010. Idadi ya wapiga kura katika chaguzi zote mbili imetofautiana kwa watu kama 4000 hivi! Ina maana kuna wana CCM walioipigia kura CCM 2010 lakini wakageuka na kupigia CDM safari hii!!

Kwenye mambo ya kampeni wanaita "the x factor".. ndio hao!

Mkuu Ushindi wa Chadema Arumeru ulikuwa hauepukiki, hata angegombea Mwenyekiti wao wa chama ( J.K ) asingeweza kufua dafu pale! Kuhusu hizo kura 6000 walizopata Chadema kwa uelewa wangu nadhani ni chache. Katika uchaguzi huu Chadema wamevuna kura 12,000 zaid ya uchaguzi ule wa mwanzo!
 
wacha unafiki wewe,ushindi wa CDM ni kura za wana Arumeru wala mtu asitake kujipandisha chart kwamba ni magamba,alfu pia tambua CCM nchi nzima ina wana chama million 3 lkn mgombea wa Urais alishinda kwa kura zaidi ya hzo,mbona CDM haikusingizia ni mpasuko wa Chadema,muwe mnakubali ukweli magamba
 
Back
Top Bottom