Mdahalo/ msaada; namna ya kupata vitabu/ katiba za vyote vyama vya kisiasa .

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
2,918
2,000
Zamida ndugu,
Amani iwe kwenu, ninamatarajio ya kuingia kwenye ulingo wa siasa hapa nchini kwetu tanzania , kwahiyo nilkuwa naomba kujua kwa wenye ufahamu wa haya masuala wanijulishe au watupe elimu ili tuanza kujengeka kihoja, ama hata application yoyote ya kuweza kupata hii mambo.
Tafadhali kekima / busara vitawale.
Karibuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom