vetto aidan
New Member
- Sep 10, 2015
- 1
- 1
๐๐๐๐๐๐daaaaahPipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐daaaaahPipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki๐๐๐๐๐๐
Masikini johnthebaptist ameshikwa pabaya maana kauli hizi siyo za akili zake timamuAcha kumlinganisha Lissu na vitu vya ajabu.
Kama tangazo hili ni la kweli ni aibu! Nana Addo siyo mtu wa kujadili na Lissu. Addo ana uelewa mkubwa sana wa siasa na uchumi, sijui anaingizwa kwa lengo gani, labda awafundishe wengine.
KWa upande mwingine naona watu wajadili lugha ya kiingereza wakati wanaelewa ktk hao, Ni Lissu ndo mwenye lugha ya hovyo. Kiingereza cha Lissu ni made in Ikungi!
Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Ni namna gani Lissu atakuletea unafuu wa maisha kutokana na mazingira ya Tanzania enlighten us? Kusema rahisi, kutenda vigumu.Magufuli aliingia madarakani 2015 akiwa na vision ya watanzania kulimia meno, si bora huyu anayetuahidi unafuu wa maisha?
Akifika Dar ndo ataboresha maisha ya Watanzania? Akiwa Dodoma juzi si aliwaambia Wagogo msimchague Lissu maana akiwa Rais atarudisha makao makuu ya nchi Dar? Huyo ndo anaipenda Dar?Ni namna gani Lissu atakuletea unafuu wa maisha kutokana na mazingira ya Tanzania enlighten us? Kusema rahisi, kutenda vigumu.
Mtu anajiropokea mwanzo mwisho na kuna watu kabisa wana amini he can deliver.
Nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe umati anaokusanya Magufuli barabarani akisimama kusalimia ndio idadi ya watu kwenye viwanja vya vichochoroni anapofanyia mikutano Lissu ionekane kuna nyomi.
Salamu za Lissu atazipata Magufuli akifika Dar nakuhahakishia itakuwa historia ambayo aijawahi tokea.
You nailed it, siku zote huwa nasema huyu jamaa siyo mwelevu hata kidogo, nje ya sheria ambako nako ni wa kawaida tu, ni mbumbumbu Kama mbumbumbu wengine!Labda ungesema January Makamba, Zitto Kabwe au Hussein Bashe ndio washiriki wa mjadala contents of the meeting would have been interesting walau hao niliowataja wana vijivision vyao vya topic husika.
Lakini Lissu per se hana lolote analolijua kuhusu social economic development wala maswala ya strategic vision ata kuendeleza familia yake let alone a nation and a continent.
Lissu hana hiyo elimu wala ajajiongeza on that front; anachojua ni kupayuka ovyo tu napata tabu kuelewa wafuasi wa Lissu what do they see in him that a majority of us donโt.
Mjomba watu wa Dar awajali sana maneno yanayotoka mdomoni kwa Magufuli, muhimu ni kawafanyia nini.Akifika Dar ndo ataboresha maisha ya Watanzania? Akiwa Dodoma juzi si aliwaambia Wagogo msimchague Lissu maana akiwa Rais atarudisha makao makuu ya nchi Dar? Huyo ndo anaipenda Dar?
Uwezo sasa ndio Hana alisukumizwa , Kabudi wake mwenyewe anayemtegemea hakipandi sawasawa , sijui nani atamtafsiria Jiwe huko Lumumba Kawe Alumni , Johnthebabtist au Yehodaya ?Safi sana Rais tunayemtaka lazima awe na uwezo mkubwa kiupeo kuhusu maswala ya kimataifa sasa midahalo kama hii inatoa fursa ya kuona uwezo wake JPM alipaswa na yeye aitumie fursa hii
Akili azitoe wapi, wafuasi wa CDM JF ni โgood salesโ people wanaweza shawishi baadhi ya watu kununua saa mbovu mbele ya kadamnasi mkabaki mnajiuliza how is that possible.You nailed it, siku zote huwa nasema huyu jamaa siyo mwelevu hata kidogo, nje ya sheria ambako nako ni wa kawaida tu, ni mbumbumbu Kama mbumbumbu wengine!
No, ni kinyume chake, we wonder why you donโt see in Lissu what majority of us see! Saa hivi hata vipofu wameona na viziwi wanasikilza, na kuelewa! Umebaki Wewe, Ruttashobolwa, Etwege, na mzee Johnthebaptist, ila huyu tunamsamehe kwa sababu ya kinywaji chake cha rangi ya chama!Labda ungesema January Makamba, Zitto Kabwe au Hussein Bashe ndio washiriki wa mjadala contents of the meeting would have been interesting walau hao niliowataja wana vijivision vyao vya topic husika.
Lakini Lissu per se hana lolote analolijua kuhusu social economic development wala maswala ya strategic vision ata kuendeleza familia yake let alone a nation and a continent.
Lissu hana hiyo elimu wala ajajiongeza on that front; anachojua ni kupayuka ovyo tu napata tabu kuelewa wafuasi wa Lissu what do they see in him that a majority of us donโt.
Naona unakimbia kizungu.Angeongea kinyatulu au kinyiramba ningemuona wa maana utumwa wa fikra umemujaa sana
Pipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki
Nafuu Kitumbua anayefahamu ana mafuta mengi kuliko andazi anayeamini yuko fit. Lugha ya Lissu; anavyopanga maneno ni mpangilio wa kiswahili. Hana msamiati wa maongezi. Anaokoteza bila kujitambua kabisa!!Ndio kusema kitumbua anamcheka andazi?
Kubali tu, Boss! Mahaba humfanya mtu aone visivyoonekana. Lissu ni empty head! Amini hivyo. Ndo maana ktk majukwaa sasa hana la kusema zidi ya kurekebisha sheria, na hadithi za hiki kimekiukwa, kile nitakizuiya, yule nitamshughulikia, nk. He is a nonstarter!No, ni kinyume chake, we wonder why you donโt see in Lissu what majority of us see! Saa hivi hata vipofu wameona na viziwi wanasikilza, na kuelewa! Umebaki Wewe, Ruttashobolwa, Etwege, na mzee Johnthebaptist, ila huyu tunamsamehe kwa sababu ya kinywaji chake cha rangi ya chama!
Upo hatua za mwisho za kufuzu kuwa mchawi kamiliHivi kweli Lissu anajua kiingereza? Mbona tumeona mara nyingi akiandika hovyo tu. Hana art ya language nadhani ni makuzi na shule alizopitia. Akiandika huwa ni mtu anayepanga kichwani kwa kiswahili na kuandika kwa kiingereza. Hakivutii grammar, hovyo! matamshi hovyo! Sasa eti uยดtunaanza kumpa ubora wa lugha ili awe rais bora, wapi huko?
Huko ccm nasikia yale yake ya miaka mitano, โbarabara kiromita...., Frayover, bwawa la umeme, ndege.... hakuna kipya!Kubali tu, Boss! Mahaba humfanya mtu aone visivyoonekana. Lissu ni empty head! Amini hivyo. Ndo maana ktk majukwaa sasa hana la kusema zidi ya kurekebisha sheria, na hadithi za hiki kimekiukwa, kile nitakizuiya, yule nitamshughulikia, nk. He is a nonstarter!