Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

Hatuna pumzi ya mitandaoni, tupo field kusett mikakati nyie anzisheni threads weeeee, mkijakujikuta Lissu ana 4% na wabunge watatu ndo mtachoka.
CCM ya sasa wepesi mno Humphrey polepole aliyeshindwa u headboy Benjamin mkapa high school ndiyo Think-tank wa chama? hamko serious.

Wewe ndiyo mjibu hoja hamko sawa.
 
Huyo mzungu kutwa kuiponda Tanzania kwenye

Muulize Hata Lisu mwenyewe hajui Hata huo mdahalo utarushwa chombo gani cha habari
Wewe binafsi huwa una chuki kubwa mno dhidi ya Lisu licha ya kutumwa na boss zako akina cyprian Musiba polepole na wenzao hata lisu afanye nini huwezi kukubali ukweli
 
Aisee mbona siamini masikio yangu? Yaani Tundu Lisu ndo injili?
When some media outlets like this one get a ban , they begin to shout from the rooftops that democracy is being muzzled.
How on earth do you go that far promoting or engaging in politics while hiding and disguising yourself as a preacher? Dunia imekaribia mwisho.
Mhubiri give us a break. Fanya kazi yako ya kuhubiri.Siasa achia wenyewe.
 
watu wanauliza itakua kupitia media gani swali halijibiwi na yeyote,nadnahi hilo ndio la msingi kupita kubishana hapa kuhusu nani anajua kiingereza
 
Back
Top Bottom