Mdahalo kuhusu katiba(itv)-Videos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo kuhusu katiba(itv)-Videos

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitungi, Jan 29, 2011.

 1. kitungi

  kitungi Senior Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nice one mkuu
   
 3. kitungi

  kitungi Senior Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hakuna kulala mpaka KIELEWEKE :coffee:
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu Shurani sana naomba uendelee na huduma hii muhimu..., hizi information huwa ni adimu sana..., Nakumbuka ule mdahalo wa kina shivji, wa dr slaa etc, ilikuwa kazi kuupata.... I hope this is the beggining of a wonderful job that you will be doing.
   
 5. kitungi

  kitungi Senior Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Nadhani kazi ndio kwanza imeanza issue za muhimu lazima ziwekwe kwenye kumbukumbu, Tutaendelea kuwakilisha!
   
 6. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Shukrani Kitungi kwa thread na asante DedichiJr wa Youtube kwa video clips kuanzia namba 'Mdahalo wa Katiba 01 mpaka Mdahalo wa Katiba10.

  Hapa Msekwa 'analaumu' wale wasiofuata katiba iliyopo (ya mwaka 1977) kama ilivyoandikwa ktk karatasi hapa kwa maneno mengine analaumu utawala wa CCM kuvunja katiba iliyopo.

  Swali kuu je KATIBA MPYA itakayo andikwa kwa wino ktk karatasi itaheshimiwa na watawala au itabaki kuwa ni KATIBA MPYA NZURI ILIYO KTK KARATASI tu bila kuheshimiwa???????.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...