High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,083
iPhone wengi wanafuata mkumbo tu,eti aonekane yuko juu. Lakini ni simu ambazo sizikubali kabisa. Anayo dogo kuna baadhi ya program anazitamamia kwa mbali tu kwenye simu yangu. Anabaki kuumia sababu ya jina iPhone. Ukija kwenye gharama yake iPhone ni laki 9 alidokoa,mimi yangu ni SAMSUNG C9 PRO original ni milioni 1.3. Hii simu bonge moja la simu,hata nimaliza nayo miaka mitano. Nitadokoa kama hii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotoa ulingano wa bei toa ni iphone gani ndio utuambie sio kusema tu
Sent using Jamii Forums mobile app