mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 187
Wana JF salam, Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo ha Baba wa Taifa Mwl Nyerere, kutakuwa na mdahalo kesho tarehe 14/10/2011 kuanzia saa (9:00am) 3:00 asubuhi kwenye ukumbu wa Utamaduni, mada itakuwa; "UONGOZI WETU NA MSTAKABALI WA TANZANIA, NAFASI YA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA." Mchokoza mada atakuwa Dr. Azaveli Lweitama mhadhiri mwandamizi kitivo cha Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watakaopata nafasi mnakaribishwa
[h=6][/h]
[h=6][/h]