mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

ahh uyo ndo mzuri mwaya!!
hana madhara...nyoka wa kibisa....
simkatai ata dk moja na ninawataka sana ao

yaani wazuri unafanya kumpepea tu km mtoto ANALALA ..:wink2:
...lakin ukijifanya kupenda ao akina marelia asugu mbona utakoma WANASIMAMIA MPK barabara yote inaota kutu akha mie stak...:A S 465:

wazee huduma A kuchakachua F
vjana huduma F kuchakachua A+
namsaka mbabu wa miaka 70 ivi nile rrraha....usiku unamwimbia tu chaupele mpenziiiiiiiiiii ayo usemayo km ni malaz yapeleke kwa daktariiiii...basi analala!!!!!!

Me loves you....Babu is 73 years old. How do you smell it darling?....Roya is no here babe.
 
Yaaani bora ukutane na mkaka tu, hata kama ameoa, utakuwa na chakuongea, na cha kumfanya akuelewe unachomaanisha.
Lakini hawa wazee bwana, kwanza anakufanya hujui icho unachokisema, halafu hawaachi usumbufu. Hata kama anajua hutaki kweli.

mbona usumbufu sasa?
lakin kwa vile analipia poooa tu we msikilizie..KWAN KUJIFANYA ZEZETA KWA MUDA KDG NGUMU?eeh ndyo we jifanye ujui kila kitu so kila kitu we uliza tu ..uliza mpk..et babu i toilet pepa naweza kuandikia barua ?asi anakuona we ujui kila kitu sa ufanyaje?

ndo raha yao kuona wewe unaparasite kila kitu toka kwake ndo anaona yap nipo na dogo dogo kweli!!!!!
 
ahh ukimwambia ivo atajua ni step nzuri leo kesho utampa mambo
uyo daily unamzungusha mpk siku akija kugutuka utakuwa ushanunua kiwanja chako tayar na apo sasa unaanza kuwa mdg like beb me 2 i want jig jig pbm atujapima so plsss naomba tukapime na apo najua ukimwambia kupima lazima atachomoaa au itachukua muda mrefu sana wa kujifikiria mpk kukubal KM SI KUKATAA KABSA na HAPO NDO AHUEN YAKO cz utasimamia ya kwamba si fanyi bila kupima na kutumia mpira stak ....:wink2::wink2:

UTAKUBALI VIP KUCHAKACHULIWA NA KITU ILIYOMALIZA ANNIVERSARY BWANA?
ao ni kwa matumizi ya apa na pale tu na ni rahisi kudanganywa yaan km mtoto vile cha msingi ujue kumanuva na akil yake basi na wale wana ugonjwa wa kupenda dogo dogo so ukimpa uwongo kdg tu unaOelekea na ukweli basi wanatulia WANAOGOPA KUWA WAKALI CZ UTAMKIMBIA!!!!

Mmm Rose, vibabu vingine vijanja, kikiona unakidanganya sana vyaweza kukuharibia maisha ati.
Mmmmmmmm, ule chake afu umshike masikio tu. Imagine mzee wa kichaga, atakutoa roho wewe.
 
Me loves you....Babu is 73 years old. How do you smell it darling?....Roya is no here babe.

ur gud candidate
automaticallly umepata iyo TENDER

anza kijipanga uanze UTENDAJI

pls note ths b4 anythng;
ma account namba iz 11j765555qu77
BENK YA POSTA.

ahh rr hana mpango anda 18 yule!!!!!
 
mbona usumbufu sasa?
lakin kwa vile analipia poooa tu we msikilizie..KWAN KUJIFANYA ZEZETA KWA MUDA KDG NGUMU?eeh ndyo we jifanye ujui kila kitu so kila kitu we uliza tu ..uliza mpk..et babu i toilet pepa naweza kuandikia barua ?asi anakuona we ujui kila kitu sa ufanyaje?

ndo raha yao kuona wewe unaparasite kila kitu toka kwake ndo anaona yap nipo na dogo dogo kweli!!!!!

ha ha ha ha ha. Rose we unawaelewa vizuri hawa vijana wa zamani aisee!!
 
Mi bado mdogo mambo hayo usinikuze na kunizeesha mtoto wa mwenzio, kama bosi nampotezea wee nafanya kama vile naona hamaanishi,namwambia namheshimu sana........nikiona anazidi na kazi naitaka namwambia naumwa so siruhusiwi kufanya hayo mambo,nikipona ntampa jibu zuri...........LOL
Michelle una u hakika kama wewe bado mdogo??? maandishi yako tu nunaonekana unatosha na unayaweza.....mitego ipo mingi na umeshanasa sana....ndege mjanja hunasa kwene tundu bovu au vp?
 
Mmm Rose, vibabu vingine vijanja, kikiona unakidanganya sana vyaweza kukuharibia maisha ati.
Mmmmmmmm, ule chake afu umshike masikio tu. Imagine mzee wa kichaga, atakutoa roho wewe.

Mshiki unamiliki bastola? Kama huna njoo nikugee hii niliyoiba kule Rwanda.
 
Mmm Rose, vibabu vingine vijanja, kikiona unakidanganya sana vyaweza kukuharibia maisha ati.
Mmmmmmmm, ule chake afu umshike masikio tu. Imagine mzee wa kichaga, atakutoa roho wewe.

babu ni babu UKIWEZA KUMSHIKA AKILI MBONA POA TU
jipange uwongo wako uwe na ukweli kdg

atakuharibiaje maisha wewe?kwan utadisplay kila kitu chako kwake?
haina kujua kwako unaish wap wala unafanya wap kaz wap na simu pia unakuwa makin nayo..KWAN UMEOLEWA?atakuarbia kwa mumeo?
KM UMEOLEWA ACHANA NA IZI DRAMA ..swaga izi znafanyika kwa mtu asiyeolewa yaan UNAFANYA TU MAADVENTURE ata bfrend unaweza kumuhadithia km kweli haumcht lakin km umeolewa mumeo atakukeketa nakwambia acha i mambo mapemaaaaaaaa..kuna vbabu vingne vichawi unaweza kuta unamwacha mumeo ivi ivi!!!

SASA DADA unataka kunambia unataka kumTUNUKU TUNDA KIBABU?mmh shaur zako wan presha ao wakikufia juu ya kinena ndo utajua rainbow ina rang ngap na ivi OCAMPO yupo dar atakukusanya ICC!!MANAKE itakuwa ni kes ya kimataifa!!!!

achana na vbabu wewe unless othwise km ushajitoa sadaka km dada zetu wengne waleeee...tafuta wa age yako ambaye mtaelewana na mtacode kwa mambo meng!!!!!

babu aoni daily atakwambia mjukuuu mpenz naomba unisomee gazet nisikie mmh ndo umpate wa EAC ananunua the guardian tu ..achana naizo adhabu.
 
Mshiki unamiliki bastola? Kama huna njoo nikugee hii niliyoiba kule Rwanda.

Kaka inabidi nije kuichukua hiyo, manake sipati picha.
Halafu inabidi niandae kikosi cha ulizi shirikishi, tunahakikisha tunafuata ushauri wa Rose sawasawa.

Nyumba inajengwa, prado tunapata halafu no...................
Kaka nakuamini, naomba uanze kupendekeza majina ya walinzi.
 
mimi ni babu miaka 67, nilikutana na kabinti ka chuo kikuu kimoja hapa nchini.
baada ya kumwaga sera zangu zote akaniambia nimnunulie gx 100 pamoja na nyumba kijitonyama ndipo avue kufuli
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
 
ha ha ha ha ha. Rose we unawaelewa vizuri hawa vijana wa zamani aisee!!

ndo wadau wangu aooo..ninao km 7 ivi ...tabu yao hawwapend uvae majeans wanapenda vimin tu ahh wananiboa mimi!!!!
wababu wa3 toka EAC nasubiria mafao tu mwenzio na ivi wameshnda kess ahh kwa raha zangu

nishashona vtenge vyangu mwenyewe vya kumsindikiza babu benk kuchukua ela zake then direct matombo kwa vacation kidg ela zikiisha au nikiweza kuziamisha kwenye akaunt yangu na yeye namwachia robo tu apo sasa narud dar!:wink2::wink2:
 
Kaka inabidi nije kuichukua hiyo, manake sipati picha.
Halafu inabidi niandae kikosi cha ulizi shirikishi, tunahakikisha tunafuata ushauri wa Rose sawasawa.

Nyumba inajengwa, prado tunapata halafu no...................
Kaka nakuamini, naomba uanze kupendekeza majina ya walinzi.

Wa kwanza ni Jemedari na Amiri Jeshi Mkuu Babu Asprin a.k.a Big Braza ODM!
 
babu ni babu UKIWEZA KUMSHIKA AKILI MBONA POA TU
jipange uwongo wako uwe na ukweli kdg

atakuharibiaje maisha wewe?kwan utadisplay kila kitu chako kwake?
haina kujua kwako unaish wap wala unafanya wap kaz wap na simu pia unakuwa makin nayo..KWAN UMEOLEWA?atakuarbia kwa mumeo?
KM UMEOLEWA ACHANA NA IZI DRAMA ..swaga izi znafanyika kwa mtu asiyeolewa yaan UNAFANYA TU MAADVENTURE ata bfrend unaweza kumuhadithia km kweli haumcht lakin km umeolewa mumeo atakukeketa nakwambia acha i mambo mapemaaaaaaaa..kuna vbabu vingne vichawi unaweza kuta unamwacha mumeo ivi ivi!!!

SASA DADA unataka kunambia unataka kumTUNUKU TUNDA KIBABU?mmh shaur zako wan presha ao wakikufia juu ya kinena ndo utajua rainbow ina rang ngap na ivi OCAMPO yupo dar atakukusanya ICC!!MANAKE itakuwa ni kes ya kimataifa!!!!

achana na vbabu wewe unless othwise km ushajitoa sadaka km dada zetu wengne waleeee...tafuta wa age yako ambaye mtaelewana na mtacode kwa mambo meng!!!!!

babu aoni daily atakwambia mjukuuu mpenz naomba unisomee gazet nisikie mmh ndo umpate wa EAC ananunua the guardian tu ..achana naizo adhabu.

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Roseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, sijaolewa bana, lakini mpango wa kumpa kibabu tunda hakuna kabisa,
Ila kanamaudhi sana, kasumbufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Haya hayaaaaaaaaaa, du nimecheka hadi watu wakashtuka humu.
 
You sound like ur so desperate to say YES to hako kababu. You sound like ur a c**t!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Roseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, sijaolewa bana, lakini mpango wa kumpa kibabu tunda hakuna kabisa,
Ila kanamaudhi sana, kasumbufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Haya hayaaaaaaaaaa, du nimecheka hadi watu wakashtuka humu.

LD a big NO inamtosha kibabu,,no offence!
wala haiitaji mjadala mrefu,to me ur lyk my dady,my grand pa,we can't make it!simple
Ikibidi mpe na neno la wokovu kdg,,amrudie Bwana aachane na uzinzi.
 
Back
Top Bottom