Mdada ushawahi kutongozwa na jamaa then akakimbia jibu

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,563
11,798
Hii mimi ishanitokea mara kadhaa hasa unapotongoza mtu huku ukiangalia body language yake huoni heri yoyote, inabidi tu ujiongeze.

Vipi kwako mdada hii unaionaje, au ndo inakuwa nafuu ya mchukuzi, na mamen wenzangu vipi ushawahi kusamehe jibu kwa sababu yoyote ile?
 
Kama nina interest nae nitampa majibu yanye uelekeo, ila kama nehiii nampa ambalo litamfanya asirudi tena.

So Yes.
Si wanasema mtu usipo kata tamaa huwa mnalainika?? Kwa hiyo wewe kama hujamwelewa hata akaze vipi huwezi kulegeza?
 
Hii thread imekaa ki town town ngoja watoto wa Masaki na Mbezi Beach and like waje watoe maoni yao!!
 
Si wanasema mtu usipo kata tamaa huwa mnalainika?? Kwa hiyo wewe kama hujamwelewa hata akaze vipi huwezi kulegeza?
Ototo ulifikiria nini kujiita hivyo?

Inawezekana, unapokaza sana na ukukubaliwa kuna mawili, either umemuonyesha kuwa unafaa tofauti na alivyokufikiria awali au baada ya kubuma kule alikokutegemea sasa hana choice.
 
Back
Top Bottom