Mdada ushawahi kutongozwa na jamaa then akakimbia jibu

ivi inatokeaga kumbe mwanamke anaweza kutongozwa na akatoa nje! mm haijai kutokea.
Mimi naanza na salamu,habari yako mrembo kama ni kimya sirudii tena maana najua nikilazimisha nitajikuta siku imeenda vibaya

Hee! hivyo tu, wewe itakuwa vigumu sana kuwa demu labda unamiliki wahudumu wa Bar.
 
Back
Top Bottom