Mdada ushawahi kutongozwa na jamaa then akakimbia jibu

Mimi naanza na salamu,habari yako mrembo kama ni kimya sirudii tena maana najua nikilazimisha nitajikuta siku imeenda vibaya
 
Ndio hivyo bwana, namshangaa huyo mvulana hata hajui kazi a hivyo viungo.
Kweli kabisa,angekuwa anajua about human anatomy wala asingeuliza maswali hayo,hajui kuna law of nature and law of universe?,hatuwezi kwenda kinyume na sheria hizo,ni lazima tupoze roho zetu sisi jinsi mbili kwa kushirikisha hisia zetu ili dunia iwe mahala pa amani.
 
dah! huwa nikijibiwa pumbaa na demu nakomaa hapohapo mpaka nampata na nikishampata Yale maneno yake ya pumba namgeuzia yeye inakuwa zamu yake kujibiwa hovyoo maana nakuwa sina mood ya kuendelea nae kutokana na majibu ya nyuma
 
Mimi huwa king'ang'anizi yani demu nimpende halafu eti anipe majibu mabaya ndio niache...ukinipa jbu baya ndio kwanza naongeza kasi.
 
Umenikumbusha miaka ya mwanzo nikiwa natongoza humu jf
Kutongoza raha sana, hata ukipewa jibu negative, shida iko wapi.
 
Back
Top Bottom