Mdada ushawahi kutongozwa na jamaa then akakimbia jibu

Kama nina interest nae nitampa majibu yanye uelekeo, ila kama nehiii nampa ambalo litamfanya asirudi tena.

So Yes.

Kwa ving'ang'anizi kama sisi hapo ndio umekuwa umewasha moto kwenye petroli! Nakomaa mpaka kinaeleweka!
 
We mwanaume gani unamwambia mwanamke apunguze kupenda dushe?
Siku hizi naona kauhuru ka kukomment hapa JF kameongezeka mkuu!...naona hata kutongoza hapa JF umeanza kutongoza kwa mbali!!..nini kipo nyuma ya pazia??....Umeachana na yule naniliu wa JF?....kila mtu amechukua hamsini zake??
 
Hii mimi ishanitokea mara kadhaa hasa unapotongoza mtu huku ukiangalia body language yake huoni heri yoyote, inabidi tu ujiongeze.

Vipi kwako mdada hii unaionaje, au ndo inakuwa nafuu ya mchukuzi, na mamen wenzangu vipi ushawahi kusamehe jibu kwa sababu yoyote ile?
Mod peleka hii post makapu forum. Necta results zikitoka hakika tutapumua. Maana hawa vijana ni shedaa!!
 
Kama nina interest nae nitampa majibu yanye uelekeo, ila kama nehiii nampa ambalo litamfanya asirudi tena.

So Yes.
Na mimi sitokuacha ivyo ivyo the way nitakavyokujibu lazima utadondosha chozi...!
 
Back
Top Bottom