Mdada mzuri, tabia za kuku

Mkuu sijui umri wako, ila wewe ni mpuuzi.
Kwani ukimuanza kimya na kutotoa hizo tabia zake unahisi utakuwa umeonewa?
 
Kizuri kula na wenzio, umefanya jambo la maana sana kutoa namba usaidiwe ,
Kosa lako kubwa ni kumponda wakati wewe na yeye akili zenu zinafanana
 
Nilichogundua wanawake (wote) ni watoto wasiojua wanataka nini,kila siku iendayo leo mwanamke ni mtu anae hitaji kuvumiliwa,kufundishwa na kuelekezwa.Unajua unaweza shindwa ishi na mwanamke "malaya" ila ukimuacha au ukimuuza kama jamaa alivyomuuza wake Huko atapoenda akapata mwanaume mvumilivu na mwalimu "wakadumu"

unaweza kudhani kabadilika kawa mtulivu au kaacha umalaya na tabia zake mbaya ila ukweli n kwamba mwanamke huyo huyo ukirudshiwa awe mpenzi wako tena "bado atakushinda" kwa makosa yale yale yaliyokua yanakukera mwanzo.

Shida hapo si yeye "shida ni wewe" kwann? ukishindwa mchukulia mwanamke mpenzi ulienae vile alivyo basi hamna mwanamke utakae muweza,unaweza kusema "utapata mwingine" sawa utapata ,ila nae atakua na makero na maudhi ambayo kama usipokua mwanaume wakuwachukulia/kuwavumilia wanawake jinsi walivyo na ukawa mwalimu kwao,Utaacha wengi sana sana.

Huwa namuangaliaga MAMA angu kuna vitu anafanya,halafu mimi nakaa nafasi ya BABA kimoyo moyo nasema "huyu angekuaga mke wangu angenikoma" mbona,na sasa hivi wapo kwenye ndoa yao mwaka wa 35 sasa sijawahi ona hata wanagombana ila kwa macho ya ujana (nikitazama mimi kama mimi) najiona nisingeweza kutoboa kbsa na mke wa aina hii.

Basi unajifunza kuwa wanawake wanahtaji kuelekezwa sana,kuvumiliwa sana na ktk kitu pekee kinachoweza fanya mahusiano yyte yakadumu miaka na miaka ni "uvumilivu" hasa hasa mwanaume jifunze na jitahdi mvumilia mpenzi wako,wanawake mioyo ya uvumiivu hawana,wengi wao wapo kama watoto Huwezi muahidi mtoto kitu halafu usimletee "lazima alie au asuse" hao ndio wanawake.

Ukiwa kama mwanaume ukifanikisha swala la kumvumilia mwenzi wako,hamna mahali utakutana na mwanamke akakushinda na tabia zake...
 
Nina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha rasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.

Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila niliwahi kumfuma anachati na wanaume wanne na wote wanadai ni wapenzi wake, niliwahi kumuacha nikamtukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika

Sasa juzi, kuna mwamba huwa ananiomba no. za watoto wakali, nikamtumia namba za mademu zangu wote, maana najua stamuoa hata mmoja wao, bora wengne wamekaza kuna mmoja kawa mgumu kabisa, ila sasa huyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha nitatumiwa , nimemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.

Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakayehitaji no. yake nampa inbox ila mpaka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jioni.
. Mkuu baba dady mheshimiwa docta mchungaji padri shekhe bounce bodgad mwalimu naomba unitumie nahitaji plz
 
Nina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha rasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.

Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila niliwahi kumfuma anachati na wanaume wanne na wote wanadai ni wapenzi wake, niliwahi kumuacha nikamtukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika

Sasa juzi, kuna mwamba huwa ananiomba no. za watoto wakali, nikamtumia namba za mademu zangu wote, maana najua stamuoa hata mmoja wao, bora wengne wamekaza kuna mmoja kawa mgumu kabisa, ila sasa huyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha nitatumiwa , nimemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.

Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakayehitaji no. yake nampa inbox ila mpaka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jioni.
Dah mkuu mbona hivyo?
 
Usitoe nambazake tafadhali muache tu aondoke zake mnk Kuna watu watumfikishia kuwa unamtangaza miatandaoni na Apo atakumaind kinoma na huwenda mkaishia kubaya acha kbsa Wal usigawe wew akishamaliza kuliwa bas mtumie picha zake
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom