Mdaada Earthwire kwa matumizi ya nyumbani 3phase

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
15,287
10,842
Wataalam nawasalimu,
Ninaomba ushauri wa kitaalam kwa size ya wire wa earth unayotakiwa kati ya 1.5 na 2.5 na kuendelea katika ulinzi wa umeme nyumbani. Nina umeme wa 3phase japo matumizi si makubwa sana. Nilikuwa na wire wa 1.5 kwa earth ila majuzi nikafanya ukarabati wa wiring kwa baadhi ya maeneo kwa kuwa nilikuwa na ukarabati mdogo ambao ulinifanya nifanye wiring. Sasa fundi akanishauri kuwa tuweke Earth wire wa 2.5 badala ya ule wa 1.5. Sasa ukweli mimi siyo mtaalam sana kwa haya mambo ya kitaalam ya umeme hivyo kabla sijaamua basi ninaomba ushauri wa kitaalam. Wale wenzangu na mimi wananiambia nikiweka wire wa 2.5 utakuwa very sensitive na umeme wetu wa TANESCO kila wakati itakuwa ni socket breaker kukata.
Sasa please advice.


Shukrani wakuu.
 
Heading nimekosea ni Msaada na siyo Mdaada sema naona siweze kurekebisha. Mods please do the needful. Shukrani
 
...
kwa mpangilio wa swali ... tuseme 2.5 ... na hiyo nachukulia ni mm ya unene wa waya.
Vingine ni ubora wa waya na urefu utakao tumia ili kukithi matakwa ya tanesco.
...
 
...
kwa mpangilio wa swali ... tuseme 2.5 ... na hiyo nachulia ni mm ya unene wa waya.
Vingine ni ubora wa waya na urefu utakao tumia ili kukithi matakwa ya tanesco.
...
Yes ni mm ya umeme 2.5 ila tayari kulikuwa na 1.5. Je ukiwa 4mm ni sawa?
 
Back
Top Bottom