Muda gani sahihi kushiriki tendo baada ya upasuaji?

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
JF Dr, naomba kujuzwa hili,

Mimi nina watoto wawili, wife kafanyiwa upasuaji juzi ( Jumatano) , ila anaendelea vyema sasa, nimemwomba Dr anieleze ni lini naruhusiwa kuendelea na chakula chetu cha mke na mume?

Dr hana maelezo straight, ati hadi apone, nikauliza kwa muda gani hasa kitaalamu? akanimind namsumbua, naomba kuuliza humu kwa Dr JF nipate kujuzwa wanajamvi.

NB: Ni operesheni ya Tumbo ( km cm 20 hivi), aksanteni kwa positive msaada,
 
mmh! unauchu eeh!! mwache mkeo apone bana siku akipona atakuomba mwenyewe!
 
Mimi mke wangu alifanyia operation ya uzazi na nikaanza kugonga baada ya miezi 3, ila si kwa sana na kwa staha mno na hatukupata tatizo lolote. Ila mara nyingi wanasema muache angalau miezi 6
 
Mhmh, ningekuwa mimi mawazo yote yangekuwa kwenye afya njema ya mke wangu ili apone haraka. Huoni hata Dr kakushangaa, ameona unaendekeza kula tunda kuliko kumjali mwenzio kiafya. Ulitoa ng'ombe wangapi vile wakati unamchumbia?
 
Inatakiwa miaka kama mitano hivi ili apone vizuri na hio ni minimum tu, nadhani huyo Dr alikujibu vizuri, yaani wewe unataka tunda huna unalofikiria juu ya afya ya mkeo na watoto wako? Ok. kuna alternative to practical yaani unakula chakula kwa mrija, kisheria na kimila inakubalika kabisa, utakulaje utajua wewe mwenyewe ila usipitilize mipaka!!!!
 
Kaka kidonda cha cm 20 du! Kuwa mpole kabisa aisee, hapo ni parefu kiongozi, utalala umeshika bunduki hadi utakoma!
 
Mhmh, ningekuwa mimi mawazo yote yangekuwa kwenye afya njema ya mke wangu ili apone haraka. Huoni hata Dr kakushangaa, ameona unaendekeza kula tunda kuliko kumjali mwenzio kiafya. Ulitoa ng'ombe wangapi vile wakati unamchumbia?

unakosea kuniambia kuwa nawazia kula tunda bila kujali afya ya mke, huo ni ukweli usiopingika kuwa ni mke wangu na siwezi ona tunakula tunda kumbe mwenzangu hajapona, sijui unaweza waza namna hii? nilichokifanya ndo najali afya yake hivyo, laa tungesonga mbele na kazi ni kazi kumbe mwenzangu namuumiza. Aliesema

Elli [INDENT said:
Re: Mda gani kushiriki tunda baada ya upasuaji ?
Inatakiwa miaka kama mitano hivi ili apone vizuri na hio ni minimum tu, nadhani huyo Dr alikujibu vizuri, yaani wewe unataka tunda huna unalofikiria juu ya afya ya mkeo na watoto wako? Ok. kuna alternative to practical yaani unakula chakula kwa mrija, kisheria na kimila inakubalika kabisa, utakulaje utajua wewe mwenyewe ila usipitilize mipaka!!!!

wonderful tell it out then

[/INDENT]
 
Huelewi kula chakula kwa mrija??? Kaazi kweli kweli,una umri gani tangu uoe?? Muulize Shem atakueleza vizuri
 
mimi naomba nikueleze ukweli kabisa,mana mm ni muhusika,nilifanyiwa operation km mkeo,normally kidonda cha operation siku 7 tu unaona dalili ya kuanza kufunga,hiyo ilitokea kwangu na hata hat watu wangu walionizunguka,siku namtoa wanangu nje,usiku nikampa mwenzangu,ingawa naye alijuwa kwa hiyo akawa anakula polepole.so hayo ndo mawazo yangu,kuwa inategemea na uponaji wa mkeo.gud luck
 
Mkubwa,uponaji watofautiana kati ya mtu na mtu.
Waweza ambiwa miezi 6 la akapona in 3.
Bado mapema sana kujua hivyo akili yako iwe kwenye kumsaidia apone na upige nyeto sana.
Akiona unawaza ngono mapema hivi utamsononesha kwani anajua utakula tundi la nje.
Au akalazimika kukupa wakati hajapona.
OTIS.
 
Hivi watu mnatoa maoni haya mnauhakika au mnagess tu. Kitalaam utaanza baada ya wiki sita yaani siku 42, ndo hapo hata zile after birth zitakuwa zimeisha. Hii inalingana tu na mtu aliyezaa kawaida. Kama kidonda kitakuwa kimepata sepsis yaani kimepata usaha then itategemea mpaka kipone vema. Kwa kawaida kidonda kinachotunzwa vema hupona baada ya siku 7 tu. Hii maada nilishawahi kuidadavua humu vizuri sana mpaka nikalinganisha na traditional na medicine. Baada ya hizi siku 7 huyu mama atalingana na mama aliyezaa kawaida kabisa hivyo wote hawa wakae siku 42 ndo waanze kufurahia ndoa yao. Kipindi hiki mtoto kwa baadhi ya makabila haruhusiwi kutoka nje au hata chumba alichopo watu hawaruhusiwi kuingia hovyo hii ni muhimu kwaajili ya kuprevent infection kwa mtoto. Nipo tayari kurekebishwa
 
Asante sana mkuu.
 
Mimi mke wangu alifanyia operation ya uzazi na nikaanza kugonga baada ya miezi 3, ila si kwa sana na kwa staha mno na hatukupata tatizo lolote. Ila mara nyingi wanasema muache angalau miezi 6
Khaaaa miez 6 babu 😂😂 ndoa zingeshavunjika
 
Back
Top Bottom