MD mpya wa Tanesco

Giro

JF-Expert Member
Feb 9, 2009
359
22
Mbona kimya??? wa zamani hayupo aliyepo ni Ag.
Tatizo nini?? au hakuna mtu aliye qualify??
 
Mafisadi wamemzonga Jakaya kuwa amrudishe Dr.Rashid kama MD ili waendelee kuila nchi na kwavile muungwana hawezi kuwapinga anashindwa kufanya maamuzi ambayo kwakweli si magumu!! Dr. Rashid has lost credibility and I am even surprised as to the reason of retaining him as Chairman of the Capital Markets and Securities Authority; no wonder our stock exchange is not performing as expected! Stock exchanges are sensitive to the credibility of the people who regulate them.
 
Raisi imefika wakati umeshidwa kuiendesha wizara ya nishati na madini. Mimi ningeshauri uchague waziri mpya wa nishati na madini kutoka upinzani. Raisi ukiendelea kuchagua wana CCM kwenye hii wizara hautaweza kutatua matatizo mengi kwani hii si wizara inayohitaji siasa.
 
Mbona kimya??? wa zamani hayupo aliyepo ni Ag.
Tatizo nini?? au hakuna mtu aliye qualify??

anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa,

thanks 4 concern nakumbuka saana

wako
???????????????????
 
anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa,

thanks 4 concern nakumbuka saana

wako
???????????????????

Nice answer but sio mbaya kuulizia kwani pengine nayeye nae anaitaka ni mmoja waliogombea hiyo nafasi
 
Mafisadi wamemzonga Jakaya kuwa amrudishe Dr.Rashid kama MD ili waendelee kuila nchi na kwavile muungwana hawezi kuwapinga anashindwa kufanya maamuzi ambayo kwakweli si magumu!! Dr. Rashid has lost credibility and I am even surprised as to the reason of retaining him as Chairman of the Capital Markets and Securities Authority; no wonder our stock exchange is not performing as expected! Stock exchanges are sensitive to the credibility of the people who regulate them.

Jamaa si anatakiwa awe lupango saa hizi na chenge kusuhu radar?
 
anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa,

thanks 4 concern nakumbuka saana

wako
???????????????????

Shida yangu nilikuwa nataka nipigiwe hii single ya zamani.Kweli naona mpo busy studio kutoa single mpya.Naona single ya CCJ, Richmond, Dowans,EPA,BOT,Meremeta, Kiwira coal mine, TICTS, hazipo katika chati sasa.Bongo kwa kupakuwa ma single tu hatujambo kibaya zaidi tunatumia muda mwingi sana studio afu yakitoka yanaisha utamu mapema afu mauzo mapaya sokoni

Single gani imekukaa sana kichwani ya mwaka 2009??? au nipe single tano bora za 2009. if you do not mind.
 
Tusiseme bila kuangalia historia na vikwazo katika utekelezaji wa majukumu ya watu. Kuna mamnbo yako collective na yapo mambo ambayo yanahitaji tu mtu mzima kuyakubali. Tusikimbilie kuchamba watu kama karatasi ya ****** tuangalie pia manasibu yanayokuta watu, forces wanakumbana nazo na nini walichosaidia. Bila research hatuwezi tu kuhukumu watu.; tanesco ya Rashid ina nafuu zaidi kuliko ile ya kishenzi ya management ya Afrika Kusini ambayo iliacha robo tatu ya uwezo wa Tanesco wa kufua umeme katika mashaka makubwa.Anayeweza kuona, aone si lazima kuwa na malaika ila ni lazima kuwa na watu wanaojali kufanyakazi zao japo wanapambana na wanasiasa katika kutekeleza kazi za kitaaluma. Inafaa tukumbuke kwamba uchafu uliopo Tanesco hauwezi kuondolewa kwa mara moja sivyo utavunja kila kitu. Lakini mtu unaona taratibu vishoka wanaondoka na kuna nafuu fulani ambapo tukikaza nia tunaweza kuliweka katika mazingira mazuri zaidi.
Lukwangule
 
Mchakato wa kumuweka atakayetoa mwanya wa kumega mahela vizuri bado unaendelea! Huu tunasubiri moshi mweusi
 
Kaka/dada
Mtu mwenye anuani za TANESCO hasa barua pepe au Fax naomba ani-PM. Its urgent!

Thx
 
tusiseme bila kuangalia historia na vikwazo katika utekelezaji wa majukumu ya watu. Kuna mamnbo yako collective na yapo mambo ambayo yanahitaji tu mtu mzima kuyakubali. Tusikimbilie kuchamba watu kama karatasi ya ****** tuangalie pia manasibu yanayokuta watu, forces wanakumbana nazo na nini walichosaidia. Bila research hatuwezi tu kuhukumu watu.; tanesco ya rashid ina nafuu zaidi kuliko ile ya kishenzi ya management ya afrika kusini ambayo iliacha robo tatu ya uwezo wa tanesco wa kufua umeme katika mashaka makubwa.anayeweza kuona, aone si lazima kuwa na malaika ila ni lazima kuwa na watu wanaojali kufanyakazi zao japo wanapambana na wanasiasa katika kutekeleza kazi za kitaaluma. Inafaa tukumbuke kwamba uchafu uliopo tanesco hauwezi kuondolewa kwa mara moja sivyo utavunja kila kitu. Lakini mtu unaona taratibu vishoka wanaondoka na kuna nafuu fulani ambapo tukikaza nia tunaweza kuliweka katika mazingira mazuri zaidi.
Lukwangule
kaka watu wana roho mbaya kushinda nyoka wamejaa chuki,majungu,fitina,hasadi na uzandiki tuu.
 
unajua tulioaplai ni wengi sana na wote tuna sifa,na wote ni 'jamaa zake'!mwenye nchi 'amestalk':D
 
wewe ni mahakama? au SFO? NI VYEMA TUKAFUATA UTAWALA WA SHERIA

Utawala wa sheria ipi?
-Hizi mahakama zinazokalishwa vikao j'mosi?
-Hao majaji wanaopewa milioni kadhaa na kuwaachia wauwaji?
-Hilo Bunge linalopitisha Richmond
-Mahakama zenye hukumu zenye utata kama 'babu seya na Zombe'
 
Back
Top Bottom